Nani kamponza Mama Rita Mlaki kumjibu Mange ?

Huyo Mangi ....... atawapotezea muda bure tu....vipi kama mnamkamata alafu mnagundua ni mgonjwa wa akili (in fact kuna 90% uwezekano huo).....

Kama mkamuweka selo akaanza kujitupatupa au kupakaza choo kwenye kuta za selo....mwishowe mtamuachia tu...so mi ningedhani ni bora mkamuacha.

.......unless kama mmemuandalia electric chair......
 
Tusubiri, labda huyu mother atamuweza maana anataka justice, akina February, le Mutuz and others wamemshindwa
 
Swali lililokosa jibu kwangu ni vipi Mange wanamshindwa ......... Ni vile yuko nje au nini haswa .......Huyo mnamuita Tanzani na mnajifanya mnataka kumpa dili,kama la ccm au CDM na akifika tu mnampeleka akamsalimie faza ovu ze nesheni.
 
Nani kasema hayo..? siyo utamaduni wetu, hasa kwa public figure, ni mbaya.... Imajini, mama yetu Samia avae, utaona sawa..??

Vikuku ni urembo wa asili karibu kila taifa katika Africa. Wasichana wa kiafrika walikuwa wakisheheni shanga na bangili za miguu kuliko ilivyo sasa. Tena wengine walikuwa wakisheheni hadi akitembea inalia "wayawaya", huku wakiwa miguu peku. Wali matchisha na shingoni, migongoni huku wakiwa wamesetiri sehemu za kati ya kiuno na mapaja, vitovu nje na kufunika sehemu za matiti kwa ama vitambaa vidogo ama shanga zilizonakishiwa kwa umaridadi.

Mtu anayesema vikuku siyo utamaduni wake, ni vizuri akabainisha utamaduni wake upi. Pengine si utamaduni wa kiafrika anaomaanisha.

Wasalaam.
 
Mange haeshimiwe, kama anavyo heshimika Ritta mlaki kwa nini mnamtukana Mange? kama kilichosemwa ni uongo, its matter of proving wrong! basi mambo mangapi amekuwa anayaandika hapa na badae tunaujua ukweli? huyu mtu haeshimiwe, kuna viongozi wanchi hii huwa wakienda nje wanajigeuza kama hawaonekanai kumbe wakina mange ndo huwa madarali wakiwatosa ndo tunaujua ukweli.
 
Huyo hutakiwi kumjibisha kuwa kama yule mume wa 2080fashion walipiga kimya siku aliyokuja TZ alidakwa na kusekwa ndani kimyakimya
 
tabby naomba kuuliza unaishi Stockholm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…