Mama Mzungu
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 215
- 369
Pole sana mama ila ungekaa kimya tu, yasingekukuta haya. Ungemwambia Le mutuzi akusaidie, umuwezi Mange.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize kwa nn anavaa kikuku?
Ana Haki ya Kuidai Haki Yake!
Wewe unavaa? Miguu yote au mmoja?Kwani kuvaa vikuku ni umalauya? Ebu tu ache imani potofu, Kama anapendelea eboo
Nani kasema hayo..? siyo utamaduni wetu, hasa kwa public figure, ni mbaya.... Imajini, mama yetu Samia avae, utaona sawa..??Kwani kuvaa vikuku ni umalauya? Ebu tu ache imani potofu, Kama anapendelea eboo
Nani kasema hayo..? siyo utamaduni wetu, hasa kwa public figure, ni mbaya.... Imajini, mama yetu Samia avae, utaona sawa..??
tabby naomba kuuliza unaishi Stockholm?Vikuku ni urembo wa asili karibu kila taifa katika Africa. Wasichana wa kiafrika walikuwa wakisheheni shanga na bangili za miguu kuliko ilivyo sasa. Tena wengine walikuwa wakisheheni hadi akitembea inalia "wayawaya", huku wakiwa miguu peku. Wali matchisha na shingoni, migongoni huku wakiwa wamesetiri sehemu za kati ya kiuno na mapaja, vitovu nje na kufunika sehemu za matiti kwa ama vitambaa vidogo ama shanga zilizonakishiwa kwa umaridadi.
Mtu anayesema vikuku siyo utamaduni wake, ni vizuri akabainisha utamaduni wake upi. Pengine si utamaduni wa kiafrika anaomaanisha.
Wasalaam.