Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Inawezekana uko sahihi. Lakini wanasiasa wote wanapenda kupata political mileage. Ndio siasa yenyewe.Anatafuta political mileage zaidi ya kuumia.
Huyo mama anaiingili Mahakama kwa kugawa ulaji wa Teuzi kwa Majaji wanaokubali kudhariri. Toka JPM anajisi thinking capacity ya Mataga hali bado haijabadirika.Acheni sheria ifanye kazi yake.Mama nakuomba usiingilie mahakama kivyovyote vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutegemea umri Kama wako ungetumia maneno makali Kama hayo...Ulichosahau Ni kuwa wewe Ni mgombea ubunge wa Cha mapinduzi aliyepata kura moja na sio mwandishi wa habari...
Note:Mimi sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote.
Kweli unaona ni bora kuwa chama tawala in waiting kuliko chama cha kiharakati kinachopambana kuingia madarakani! Unadhani kuna kurithiana katika utawala. Halafu sio fair kusema Chadema kimejaa vilaza wenye low IQ. Mbona kwenye chama tawala wako wengi tu? Utawaita geniuses watu ambao wanapitisha sheria na maazimio bila kujua ndani kuna nini? Maneno uliyotumia ni fighting words na usishangae watu wakikujibu hivyo hivyo. Hayakuwa maneno ya mtu mwenye high IQ hata kidogo.Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.
Tatizo lako wewe na wengi wenu ni low IQ, kwa kifupi Chadema ina vilaza sana!. Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa ukilaza tuu wa low IQ kushindwa kuona Zitto alisema nini!. Vilaza kama wewe mliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.
Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.
Jumapili Njema.
P
Kama hamkutaka aumie jela si msingemfungulia mashitaka?Jela si pazuri na anaye umia ni mbowe na familia yake. Mbowe atoke jela kwa njia yoyote ile, kisha aendelee na siasa akiwa nje.
Ushabiki wa kijinga wakati mtu anaumia jela si mzuri wala si ubinadam.
Kwa vile CCM imejaa vilaza inahalalisha Chadema kuwa na vilaza pia? I thought nyie ni bora kuliko wao? Lakini pengine upo sahihi, kwa sababu silaha kubwa ya CCM mtandaoni ni matusi na lugha zisizo za kistaarabu, na bila shaka nanyi mmeona "kama CCM wanatumia matusi mtandaoni, why not sie pia"?Kweli unaona ni bora kuwa chama tawala in waiting kuliko chama cha kiharakati kinachopambana kuingia madarakani! Unadhani kuna kurithiana katika utawala. Halafu sio fair kusema Chadema kimejaa vilaza wenye low IQ. Mbona kwenye chama tawala wako wengi tu? Utawaita geniuses watu ambao wanapitisha sheria na maazimio bila kujua ndani kuna nini? Maneno uliyotumia ni fighting words na usishangae watu wakikujibu hivyo hivyo. Hayakuwa maneno ya mtu mwenye high IQ hata kidogo.
Amandla...
hujui jela. kuna mda unaomba ukuta zivunjike ili utoke.Kama hamkutaka aumie jela si msingemfungulia mashitaka?
Nape alionekana mtu mwenye msimamo aliposimamia suala la Clouds. Lakini hilo lilifutika pale alipoenda kuomba msamaha na kuchukulia video akijifuta jasho akielekea Ikulu.
Mbowe akiomba msamaha atafanyiwa hivyo hivyo. Atatakiwa aende Ikulu au hata kwa Shaka na aimbe pongezi kwa wema ambao serikali imemuonyesha. Akifanya hivyo atakuwa kama wakina Halima ambao walikubali kupiga picha ya pamoja na Spika baada ya uapisho feki. Hataweza ku recover kutoka hiyo humiliation. Muache akae na kama ataachiwa, atoke akiwa amesimama sio akiwa anatambaa.
Amandla...
Pascal nasikitika kukuambia kuwa hata wewe uelewa wako ni wa chini mno.Mkuu Yericko Nyerere , kwanza hongera kwa andiko zuri, wewe ni mwandishi mzuri, una kipaji cha uandishi, tatizo lako ni dogo tuu, ambalo kwangu naliona kama ndio tatizo kuu la Chadema, kama mngelitatua saa hizi, siku nyingi Chadema ingekuwa Ikulu.
Tatizo lako wewe na wengi wenu mliopo Chadema ni kiwango fulani cha uelewa wa baadhi zinazohitaji kiwango fulani cha uelewa. Kwa kifupi uelewa wa wafuasi wengi wa Chadema ni uelewa fulani hivi, kama ilivyo baadhi ya wana CCM!, kumuelewa vizuri Zitto, kunahitaji kiwango fulani cha uelewa.
Umeandika bandiko hili refu refu lote kwa kushindwa kuelewa Zitto alisema nini!. Uelewa kama huu uelewa wako ndio uliotamalaki Chedema ndio mnakifanya Chadema kuendelea kuwa ni chama cha kiharakati badala ya chama tawala in waiting!.
Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini
Wanabodi, Kichwa cha habari cha bandiko hili kinajieleza wazi, hili likiwa ni bandiko la swali, kuwa siku zote huwa nailaumu Chadema kuwa hawajitambui na hawajui wanataka nini!. sasa kesho Chadema wanafanya uchaguzi wa Mwenyekiti, swali ni jee sasa Chadema wanajitambua?, jee wanajua wanataka...www.jamiiforums.com
Aliyezungumzia kusameheana kupo ni rais Mama Samia, usimlishe Zitto maneno!. Kama hukumwelewa Zitto, sema tukueleweshe!.
Ukipata nafasi, nunua gazeti la Nipashe la leo, nenda ukurasa wa 7, kuna kitu kinakuhusu.
Jumapili Njema.
P
Pascal Ni mfuasi wa CCM anaetaka atengeneze katiba ya Chadema..Kuna muda anapenda Sana achangie nyuzi Kama mwanahabari huku akisahau kuwa yeye Ni kada mgombea ubunge CCM aliyepata kura 1...Kumuita mwenzake kilaza Ni Utovu wa nidhamu wa Mtu mzima.....hiyo ni mbinu tu ya kumtoa Yerricko kwenye reli.
..ukiona hivyo ujue jamaa kashindwa kujibu hoja anataka watu waanze kutukanana.
Pascal Ni mfuasi wa CCM anaetaka atengeneze katiba ya Chadema..Kuna muda anapenda Sana achangie nyuzi Kama mwanahabari huku akisahau kuwa yeye Ni kada mgombea ubunge CCM aliyepata kura 1...Kumuita mwenzake kilaza Ni Utovu wa nidhamu wa Mtu mzima...
Huenda Zitto ana uhakika kwamba Rais anaweza kutumia ushawishi wake hii kesi ikafutwa na Mbowe kuachiwa huru.Mpaka sasa Freeman hana hatia au makosa hadi itakapothibitika vinginevyo mahakamani. Hata huko kuachiwa huru ni pale itakapothibitika kuwa hana hatia kwa mujibu wa sheria na mwenendo wa mashauri yaliyoko mahakani.
Msamaha anaomba au anaombewa mkosaji, Freeman haba kosa lolote kwa sasa! Hapo ndipo Zitto alipaswa kusubiri au kukaa kimya kuliko kumwombea msamaha mtu asiye na kosa au hatia. Ni kama vile anamhukumu kabla ya kuhukumiwa kisheria!
Na nyie mkagundua kuwa matusi hayafai mlipoanza kutukanwa? Kwa nini mnaanza kulalamika pale tu mtu ambae amekuwa victim kwa muda mrefu anapoamua kujibu mapigo? Chadema wametishiwa mpaka kuuawa publicly lakini wote kimyaaa! Labda Chadema wamehesabu mpaka 490 ( 7 x70) wakaona u Mahatma hauna tija. Pamoja na hayo bado sijawasikia wakisema watamuua mtu kwa sindano, au wakiomba viongozi wao wawape kibali cha kuwaua wapinzani wao. Kuwalinganisha na wapinzani wao sio kuwatendea haki.Kwa vile CCM imejaa vilaza inahalalisha Chadema kuwa na vilaza pia? I thought nyie ni bora kuliko wao? Lakini pengine upo sahihi, kwa sababu silaha kubwa ya CCM mtandaoni ni matusi na lugha zisizo za kistaarabu, na bila shaka nanyi mmeona "kama CCM wanatumia matusi mtandaoni, why not sie pia"?
Nanyi mlitumwa na nani kuomba maridhiano na Magufuli, Desemba 9, 2021? [emoji849] View attachment 2049768
Hakuna mtu anapenda kukaa mahabusu. Angekuwa baba yangu yuko ndani na kaweka wazi msimamo wake nisingeupinga.hujui jela. kuna mda unaomba ukuta zivunjike ili utoke.
Ingekuwa ni wewe au baba yako ndiyo wapo jela usinge sema hayo maneno.
Hata mbowe mwenyewe hapendi kukaa jela, ndiyo maana alilipaga faini kwenye kesi ya uongo.