Nani kamtuma Zitto Kabwe kuomba Mbowe aachiwe huru?

Case yake Iko mahakamani,na chadema kama chama kimepeleka mawakili,ila let say mbowe akikutwa na hatia na kufungwa,au hata akifarik Dunia,je succession plan ya chadema ikoje??

..polisi wanadai wakina Adamoo walikiri makosa ya njama za ugaidi mwezi August 2020.

..Mbowe ambaye anatuhumiwa kuwa recruiter, financier, na mastermind, wa ugaidi huo alikamatwa mwezi July 2021.

..kipindi chote hicho Mbowe alikuwa akitembelea maeneo mbalimbali hapa nchini, na hata kusafiri nje ya nchi na kurudi.

..kwa kweli "gap" ya ukamataji wa watuhumiwa wa kesi hii imeniacha na maswali mengi kuliko majibu, na zaidi imenifanya nitilie mashaka ukweli wa tuhuma dhidi ya washtakiwa.

cc Fundi Mchundo
 
Hapo ndipo kwenye tatizo. Unamkamata Fupi lakini Bin Laden unamuachia huru ili afanye lolote analo taka? Na hiyo ni baada ya Fupi kukuambia kuwa aliyemtuma kulipua ubalozi ni Bin Laden? It does not make sense.

Amandla...
 
Case yake Iko mahakamani,na chadema kama chama kimepeleka mawakili,ila let say mbowe akikutwa na hatia na kufungwa,au hata akifarik Dunia,je succession plan ya chadema ikoje??
Hivi unadhani Mbowe akifariki dunia tatizo litakuwa la Chadema? Unadhani watu wataamini kuwa amefariki kwa sababu tu wakati wake umefika?
Makaburu wa Afrika Kusini walifika mahali walifanya kila mbinu ili Mandela atoke jela kwa kuhofia watakavyohukumiwa kama angefia mikononi mwao.
Kwenye hili mzigo uko zaidi kwa wanaomshikilia kuliko chama chake.

Amandla...
 

..kuna mizigo ambayo Rais SSH hastahili, na mmoja wapo ni wanasiasa wa upinzani kufia magerezani yeye akiwa madarakani.

..CCM iache kucheza na maisha ya wenzao. It's about time watambue kwamba wapinzani wana haki sawa na CCM.

cc THE BIG SHOW
 
Umemaliza mkuu unajua Kuna Sisi tulio neutral kwenye siasa ukiwaangalia Chahali na Pascal Ni Kama watu vigeugeu na wasaka fursa Ni kuwapuuza tu ..Wakati wenzao wanatishiwa maisha hao wanafiki ndani ya majoho walichukua hatua Gani...??Hao hawapaswi kuaminiwa Tena ..

Humu ndani hatujawahi kuona bandiko la Pascal akimuita Sabaya ,Kihongosi , James au Paul kuwa Ni vilaza kwa kauli na matendo yao kuwa Ni vilaza ...

Halafu umri wa Pascal na Yerricko Ni tofauti Sana....Ni aibu kwa mtu mzima kumtukana kijana mdogo kuliko kijana kumtukana Mtu mzima...

Nalog off.
 
Nanyi mlitumwa na nani kuomba maridhiano na Magufuli, Desemba 9, 2021? [emoji849] View attachment 2049768
Yaani Chahali ni bonge la mjinga (anisamehe kwa kumuelezea alivyo kuwa ni mjinga).
Kwanza hayo maridhiano yaliyo ombwa na Chadema hayakuwa Desemba9,2021 na pili yale yalikuwa hayahusiani na huu ujinga wa aina hii, ukoje wewe unayejiita jasusi?
Inamaana huelewi tofauti ya maridhiano na kuomba msamaha kwa makosa ya ugaidi usiyo yatenda?
Sikudhani kuwa wewe ni mmoja wa wajinga kiasi hiki.
 
Wewe umemsikia Zitto akimuombea mtu msamaha... au na wewe ni ....?.
Mkutano ulikuwa live, alichokisema Zitto tumekisia live, loud and clear!, sasa hawa makada wa Chadema wanamshukia kila kona kwa kumlisha maneno, lengo lao ni nini?.

P
Hii inaonyesha wafuasi wa chadema wanachuki dhidi ya Zitto wengi wao hawajamsikiliza na hawataki kusikia kwa masikio yao kuwa Zitto kasemaje
 
Kwa style hii ya uongozi wa Chadema uliokosa hekma siku wakikamata madaraka nchi itaingia kwenye udikteta kamili
 
Hata mimi naamini hajapokea mshiko wowote ila ambalo haliepukiki ni kwamba Zitto ni mnafiki sana na anapenda kuweka mbele maslahi yake sana. Mfano katika mazingira ya uchaguzi wa mwaka jana jinsi ambavyo wanachama na wapenzi wa ACT wliumizwa na kuuawa hakutakiwa kukubali kuingia kwenye serikali ya wauaji never.
 
hakuna mahali zitto kamwombea msamaha mbowe, ila jibu la mama lime suggest hivyo, SASA KWA AKILI ZAKO ndogo una mu attack zitto???? una akili wewe??
 
Hakuna mahali Zitto kamuombea Mbowe msamaha, acheni kuspin na kumlisha maneno.

Zitto ana hekima, kawazidi upeo viongozi wengi wa Chadema. Zitto anajua power iko wapi na namna gani ya kuinyakua kidogokidogo. Viongozi wa Chadema wanadhani Mclyster atamtoa Mbowe Jela na kutupatia tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. It doesnnt work that way. Huwezi kusimama mbele ya raisi na kuvimba na kuleta uanaharakati uchwara, ukifanya hivyo rais anaweza kuamua kutunisha msuli wake, mtamfanya nini?
Kinachotakiwa ni many fronts one battle.
Tatizo la viongozi wa Chadema wana chuki kali sana kwa Zitto, ndiyo maana hata alivyokufa mama yake walijivutavuta kwenda kuhani msiba wakati marehemu alikuwa ni. mjumbe wa kamati kuu wa chama chao wenyewe!
 
elezea bana!!!!!!!!!!! si mlimfuata JPM??? elezea how, acha kejeli

kumbe mkawa kisirisiri mnamtamfuta JPM?? ha ha haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…