Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

Kipindi cha kipilimba ndipo makanisa yalifumuka kwa wingi sana, nadhani yalitumika kama pazia la kuficha utambulisho wa wana kitengo, maana na yeye alikuwa mchungaji
Kwahiyo Mwamakula alianzisha kanisa lake na ana kanisa lake binafsi? Naomba kufahamu
 
Back
Top Bottom