DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Kwahiyo Mwamakula alianzisha kanisa lake na ana kanisa lake binafsi? Naomba kufahamuKipindi cha kipilimba ndipo makanisa yalifumuka kwa wingi sana, nadhani yalitumika kama pazia la kuficha utambulisho wa wana kitengo, maana na yeye alikuwa mchungaji