Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Huyu Waziri tu Tanzania tumepigwa na kitu kizitoHuyu Waziri atatugharimu sana.
Mungu ampe Mama hekima afanye jambo kwaajili ya Mwigulu
Tunachezewa michezo hapa ila wabongo hatushtuki lolote.
Budget ya tz trillion 42, yeye anazungumzia trillion 300 za Kitu Gani!?? Au funika kombe!! Hatujawahi kuwa na budget ya trillion 300 kama taifa!!Tumeshtuka mbona. Ndio maana waziri kajikanyaga na swali linatakiwa kujibiwa upya.
Hata ya trillioni 100 sidhani kama tumewahi kufikaBudget ya tz trillion 42, yeye anazungumzia trillion 300 za Kitu Gani!?? Au funika kombe!! Hatujawahi kuwa na budget ya trillion 300 kama taifa!!
Iko hivi mbunge Luhaga Mpina ameuliza swali hili hapa chini [emoji116]Budget ya tz trillion 42, yeye anazungumzia trillion 300 za Kitu Gani!?? Au funika kombe!! Hatujawahi kuwa na budget ya trillion 300 kama taifa!!
Mi ht sielewi watu wanapanic ninTrab-Tax Revenue Appeal Board
Inashangaza sana hadi kipindi cha michezo kwenye hizi FM radio usiku huu wanajadili hii issue!Mi ht sielewi watu wanapanic nin
Wkt ni km mtu asahau kirefu cha TRA ama PCCB