Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

Spika hakuelewa mantiki ya Trab na Trat lakin alielewa tarakim yaan tril 300+.. na hapo akajidah hajui ili tu alete mtafaruku..siasa tuu..kwa leo nimechukia sanaaa..msiwaonee wa tz jaman
 
Budget ya tz trillion 42, yeye anazungumzia trillion 300 za Kitu Gani!?? Au funika kombe!! Hatujawahi kuwa na budget ya trillion 300 kama taifa!!
Sahihi, kilichokuwa kinazungumzwa ni ile fedha ya makinikia iliyobado pending.
 
Huyu jana tuu alise 2025 tunaweka koma Safari mpaka 2030 ndo hivi kweli...???
 
Huyo Mpina anasumbuliwa na usukuma,toka Magufuli adanganye kuwa Barrick wanatskiws kutulupa 360T basi kila siku anaihoji.
 
Budget ya 300Tr...!!!!!!
Watanzania tumefanywa mambumbumbu vyakutosha sasa!!!!!
 
Kama haziko TRAB/TRAT inamaana zikio vibindoni mwa watu?
 
Back
Top Bottom