Nani kanimiss?

Kweli kabisa, mwanzoni nilikuwa simuelewei kabisa hata threads zake nilikuwa naskip ila taratibu nikaanza kuona mbona yupo tofauti na navyomdhania.
Niliwahi kumkoromea mara kadhaa kuwa asiniquote kwenye nyuzi zake.
Baadae nikaona ninamkatili bure tu hana baya na mtu ...ndivyo alivyo🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…