Nani kanimiss?

Kati ya member alie jiwekea heshima humu janvini Hadi nammisi sana ni (Joanna)huyu merembo sizani Kama kunamtu humu ashawahi kumgonga japo wengi sana tunamtamani

Kuna nember nilikuwa namfatilia Sanaa alikuwa na ukaribu nae Kama alikuwa anamtongoza kishkaji yani anaitwa ditective j.alikuwa anamnyapia sana

nimeenda sana pm kwake kumwaga Sera lakini hajawahi kujibu ujumbe wangu daah

sasa ivi haonekani maranyingi sijui kwanini?

huyundio demu staakuliko wote humu ndani amejibland sana

sio Hawa wanaoliwa kwa mafungu kilasiku humu..
 
Jishaue tu kama unakula kwao
 

Mjaribu tena kwa hii I'd mpya.πŸ˜„
 
Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo.

Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii.

Mie sijammiss mtu labda hela
Mimi mwanaume ni mtu wa ajabu sana, huwezi amini, I just feel it, and i wish i could ask you somethin'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…