Nani kanimiss?

Nani kanimiss?

Nafikiri kwakuwa hawajapata nafasi ya kumfahamu.ninaimani unafahamiana na Unique Flower .jitahidi watu wamjue na wao.

Kiukweli hanaga kisirani(kwakupitia mwandiko)
Sijwahi kuonana naye live zaidi ya kumsoma hapa jf.

Jambo ambalo linanifanya nione ni mtu poa....hana kinyongo kabisa.
Mengine ni madhaifu ya kawaida ya kibinadamu
 
Uko sahihi kijana.
Kila mtu ana aina flani ya uwasilishaji wa jambo lake.
Unaweza usimwelewe au aka sound vinginevyo tofauti na alicholenga ku deliver kwa hadhira wake
Kweli kabisa, mwanzoni nilikuwa simuelewei kabisa hata threads zake nilikuwa naskip ila taratibu nikaanza kuona mbona yupo tofauti na navyomdhania.
 
Back
Top Bottom