Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

Hata wakaka baadhi yao ni ovyoo wanaomba hela, wanataka vitu ambavyo kiuhasilia hakunaga . Jamani hadi keroo . Halafu ukiwa serious ndio mazwazwa yanatokea .
Sasa mpaka mkaka akaomba pesa kwa mwanamke huyo nae anashida aiseee..

Ila mi kwa mda wangu wote huu nimeona hakuna userious humu ndani.

Hata kama mtu akakulilia shida bado hawo serious anazunguka zunguka sana.

Kuna mambo yanaendelea nje ya hapa ndo utajua kuna watu wa hovyo haijawahi tokea wengine ni mtu mzima na familia yake lakini anakua hovyo sana aiseee
 
Nilikuwaga serious hadi na leo sipo serious tena nimeamua kutulia tu nachangia mada fresh
 
Ndo wanataka tuwe namna hiyo..
Ila kuna watu wanapokuja kusema shida fulani huwa ni kweli kabisa mkuu.

Ila sasa hawa wachache ndo wana haribu sana hu mtandao.
Yaani mtu akishashiba, bando lipo anaona kashamaliza kila kitu anaanza kusimanga wenzie humu ndani.

Huo ni uzwazwa wa hali ya juu
 
Jf hamna pisi. That's all I can say labda zamani ila zote zishakua mishangazi now
Kuna mmoja nilikutana nae sinza pale ile Lodge ya mzee torino alikuja na tangawizi, iriki na chupa ya asali. Anasema nim-mwagie asali mwili wote alafu niirudishe kwenye chupa kwa kuilamba na ulimi... ilikuwa shoo bab kubwa ile ya mambo ya kitanga

Cc. Lamomy
 
Sasa mpaka mkaka akaomba pesa kwa mwanamke huyo nae anashida aiseee..

Ila mi kwa mda wangu wote huu nimeona hakuna userious humu ndani.

Hata kama mtu akakulilia shida bado hawo serious anazunguka zunguka sana.

Kuna mambo yanaendelea nje ya hapa ndo utajua kuna watu wa hovyo haijawahi tokea wengine ni mtu mzima na familia yake lakini anakua hovyo sana aiseee
Kimekupata nini funguka vizuri
Maana nmecheka sana hapo mwishoni mtu mzima na familia...😅
 
Back
Top Bottom