Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

Usiogope wizo buana, mchukue manyanza atajinyonga 🀣🀣🀣
Naanzaje kujinyonga wakati ni suala la makubaliano tu na Mimi napashwa kuwa na subra ili nile mbivu? 😁😁😁
 
Hata wakaka baadhi yao ni ovyoo wanaomba hela, wanataka vitu ambavyo kiuhasilia hakunaga . Jamani hadi keroo . Halafu ukiwa serious ndio mazwazwa yanatokea .
Dada ukae ukielewa kuwa huo ni mfumo.

Siyo tu Jf, ni popote utapotaka kuanzisha mf: 'uhusiano mwema', kununua aridhi ama kitu chochote chenye thamani, kujenga nk lazima habari hizo uziwekee password ama code ili zisifahamike hadi utakapozitekeleza.

Shetani Lucifer hapendi matokeo ya mambo hayo ambayo kimsingi huleta mafanikio na afueni ya maisha kwa mwanadamu, basi hujikongoja mwenyewe kuvuruga wala hatumi mfuasi.

Ukianzisha mambo niliyoyataja na yakafahamika, utapigwa vita na fitina kibao hata kwa watu wako wa karibu hadi ushangae!
 
Ni kweli
 
Back
Top Bottom