Nani kapata mwenzi huku na wameoana?

Na nani? Mimi sipewi ahadi hewa kaa kwa kutulia Manyanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekwambia muoaji simjui
Wewe ni wa kuahidiwa tu, kula hizo ahadi hewa kama Madame Rita BSS na uwachukie wanaume. 😁 Mikoba ya Shehe Yahya ninayo Mimi ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…