Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Mtume Muhammad alipifika karamuni na kukuta Nyama nzuri ya Kitimoto imeisha ali Mind Sana, akasusa na kuwaambia wafuasi wake waisusie Nguruwe, ilikuwa ni Hasira tu ya Kukosa Nyama
Leta maandiko sio porojo
 
Mh!, Pia usisahau maandiko yanayosema "Akilacho mwanadamu bila kumtudi basi si haramu"

Endelea kukazana kutokula nyama ya Nguruwe,huku unaendelea kuagua kwa kutumia Korani yako takatifu,pia na uzinifu vilevile na kuoa na kuwapa talaka wake zako huku watoto wakigeuka machokoraa mitaani.

Mbingu itakuwa yako,maana mmiliki ni Babu yako.
 
Mambo ya walawi ni kitabu cha wayahudi kilicho katika biblia na sio kitabu cha wakristo
 
Mambo ya walawi ni kitabu cha wayahudi kilicho katika biblia na sio kitabu cha wakristo
Wakristo tumembiwa hivi
Marko 7:15
Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu.

19 kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.

20 Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.

21 Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,

22 wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.

23 Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.

Kwa Wakristo najisi ni hizo hapo zilizo orodheshwa na sio kula nyama ya Mamba au Nyoka. Irimradi iruhusiwe na Serikali kama ilivyo ruhusu kula nyama ya Mamba hivi karibuni.
 
Kwani kuku anacheua?
 
 
Kwa hiyo wale nguruwe ndiyo hawa tulio nao wanaishi hadi leo? Au wale walikufa palepale?
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yaani kuna watu wana akili ambazo hata shetani akikaa pembeni anashangaa huyu mtu anawaza KWA kutumia nn daaah nimecheka sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitimoto choma, ndizi mzuzu ilioanza kuivaiva,kachumbari,pilipili,weeeeeeeee na ka coca kabariiiiiiiiiiiidi
 
Itakua vyema kuamini yote yaliyo andika kwenye kitabu hicho .
tangu Aya ya Kwanza mpaka ya mwisho .
kuchukua vifungu vinavyokufurahisha na kujenga hoja si Sawa.
kama unaamini ni maandiko ya MUNGU mbona umeacha kumtaja ngamia kwenye surahiyo 11:4 ambaye naye ni haramu unakubaliana na Hilo kama hukubali yakatae yote hata sungura ni haramu na mwewe ,bata pia ni haramu .
wenye kitabu chao Wana hoja ya kua walifafanuliwa kua kimtiacho MTU unajisi si vyakula ni matendo maovu vyakula vyote hugeuka choo
 
what a coincidence?!!! nimetoka kupiga Nusu kavu na Ugali, Allah anijalie maisha marefu
Umeambia Aya na vifungu we unasema unasema nusu kavu! Ndo useme kifungu gani hicho kilichofanya ule nusu kavu!?

Au shiumbi mnungu shakumemena??
 
Ujinga mtupu wewe mambo ya walawi yqnakuhusu nini??ninawafuga wapo kama 56 ndio nae desha familia kupitia mifugo hii,msituharibie soko


Hata muuza bangi naye huwa mkali linapoharibiwa soko la bangi yake, lakini bangi itabaki kuwa haramu tu jinsi kitimoto kilivyokuwa haramu na najisi.
Sasa Wasabato ni watu, huoni kama wamechanganikiwa?


Wasabato ni Waisilamu au Wakristo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…