Ile KOICA ni ya nani?Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western.
Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni kazi.
Awa wachina biashara zote tunafanya hawatoi hata service kupitia NGO?
Nwasilisha
Hao west wanatupenda sana, si ndio eeh?Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western.
Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni kazi.
Awa wachina biashara zote tunafanya hawatoi hata service kupitia NGO?
Nwasilisha
WajapanIle KOICA ni ya nani?
Sio NGO ni Shirika la Maendeleo la Korea Kusini.Ile KOICA ni ya nani?
Sio NGO ni Shirika la Maendeleo la Japan
Sio JICAWajapan
Koica ni WakoreaSio JICA
KOICA ni wakorea banaa!!!!Sio NGO ni Shirika la Maendeleo la Korea Kusini.
Hospital ya mbagala imejengwa Kwa msaada wa KOICA hawa ni wadau wa maendeleo na Tanzania sio NGOKoica ni Wakorea
Umepata futari leo?NGO za wachina za kazi gani wewe ngumbaru unaewaza kuiba baada ya kuingia ofisini?
Wachina wana taratibu zao kwamba mhujumu uchumi auawe wakati taratibu zenu katika Jambo mnalopenda ni kuhujumu uchumi pale tu mnapoachiwa kazi 😏
Nyingi endeleeni na hao wamagharibi ambao wanawatumia kuuza rasilimali zenu
KoreaIle KOICA ni ya nani?