Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

Ni kweli Kuna Mtu kawe Kuna Mtu anaishi kawe aliniambia siku za nyuma kidogo kwamba siku hizi kawe Kuna panya wengi sana, Tena yeye alihusisha na Imani za kishirikina ila kwa sumu wanakufa vizuri tu labda ni aina ya sumu unayotumia
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
Nionavyo mimi una nia ya kuwaua Wananchi kwa kuwaambia waonje huo mchanganyiko ili kuona kama hiyo sumu imekolea!
 
Kuna jambo halipo sawa ki ecolojia. Upo sahihi.
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
"......onja kama imekolea kisha........."
Duh! Veri hatarias. Je, mhusika baada ya(soma hapo 👆 👆 👆 👆 )atamudu kuiweka sehemu kavu na kuhakikisha hakuna maji karibu?????😳😱
 
Kwa kuongezea tu hawa panya wanaogopwa mpaka na nyoka. Lengo kubwa la hawa panya ni kuwateketeza wale panya wa kawaida
Waapi broo; Mbona wale nyoka maarufu kama Kifutu(puff adder)waliokuwa imported kutoka Malawi kwa lengo la kuwala panya wasumbufu kwenye mradi mkuu wa zao la karanga Kongwa hawakufanikiwa??
 
Safi na hii ndo ukweli Japo ni Underground mission sana
 
Bro Genta tangu harusi Yako ipite umekuwa adimu sana Jf naona shemeji amekuweka busy
Namwonea huruma sana huyo Mwanamke ambaye Mimi nitakuwa ndiyo Mumewe na hasa akiwa na tabia / tatizo la Wivu kwani hakuna furaha niipendayo kama Kubandua mara kwa mara na Wanawake tofauti tofauti.

Sipendi kuzoea Mbunye moja hiyo hiyo kama Nauli za Daladala za Dar es Salaam.
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
Aonje kama imekolea[emoji848][emoji3][emoji3]
 
Mkuu acha watu watafute maisha. Wamalawi wanachapa kazi ambazo waswahili wengi hawawezi. Wengi wapo very professional, wanathamini kazi. Watanzania wengi sisi ni wajanjawajanja. Unataka wafukuzwe hizo kazi utafanya wewe? possibly not. kwa nini uumie mtu kutumia nguvu na akili yake kujipatia riziki? hii mipaka iliwekwa na wajinga fulani huko Berlin kwa maslahi yao. Kuna ndugu zako wako SA, US, UK , Canada hawana vibali lakini wanapambana. Ndo hao wanasaidia ndugu zao hapa TZ na kwingineko.

Mpaka leo sioni sababu ya mwafrica kuwa mkimbizi Africa. wacheni vijana watafute maisha. Na wewe ukitaka nenda Congo au kwingineko. Ilmradi usiibe cha mtu.

Mwisho wa siku wakifanya makosa waadhibiwe kama wengine. Ila tusiwahukumu tuu kwa sababu wanaitwa wamalawi. It is just a name!

Africa maisha ni magumu sana. ukiona mtu ana hustle mheshimu baada ya kumfitini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…