Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

GENTAMYCINE

Wakati mwingine kuna makosa yanafanyika ya ki ecolojia nitatoa mfano

1. Kunguru wa Mafia waliletwa dar ajili ya kazi ya scavenging yaani kupunguza matakataka matokeo yake walivyo wakorofi wakawa wanawaangamiza wale kunguru wenye kizibao...
Washafika bara mikoani, kweli ni janga hili kazima serikali itafute namna ya kutoa elimu waangamzwe kwani niliwakuta Moshi na Arusha wa kutosha na watu wanaina kawaida tu kumbe wataangamiza kabisa mazalia ya ndege wa asili.
 
Kumbe hadi Kilimanjaro na Arusha wapo?
 
Panya hao wapo kila sehem Hapa Dar na sio Dar Tu. Nilimsikia mhehe mmoj anasem ata Iringa wapo. Hao panya Mbagala kule wanawaita Panya WA mama Samia. Wanawala panya WA kawaida na paka wanawaogop hao panya MaVi Yao yananuka balaa. Na kingn hao panya wanauliwa kw mtego .
 
Panya wa Mama Samia 😂😆 duuh
 
GENTAMYCINE

Wakati mwingine kuna makosa yanafanyika ya ki ecolojia nitatoa mfano

1. Kunguru wa Mafia waliletwa dar ajili ya kazi ya scavenging yaani kupunguza matakataka matokeo yake walivyo wakorofi wakawa wanawaangamiza wale kunguru...
Na hawa panya wamezalishwa makusudi na kumwagwa mtaani ili waue wale wengine. Tatizo la hawa wanatafuna hata sufuria kama wanatafuta njia ya kupita. Wanahakikisha wanatoboa kila kilichopo mbele yao.
 
Hawa panya wanategeka kwa sumu bila shida, haujawahi au haujui jinsi ya kutumia sumu unaanza kusema hawategeki kwa sumu! Changanya unga kidogo sana na sumu nyeusi ya chenga, onja kama imekolea kisha weka sehemu kavu na yasiwepo maji yoyote karibu.
Hapo kwenye kuonja kwanza
 
Hao panya wapo muda tu, na unachitakjwa ujue sio kwamba wanakimbia au kutembea kwa malingo eti hawaogopi watu hapana, hao panya wahaoni kabisa hivyo wanapita kwa hisia pembeni ya ukuta
 
Hao panya walinisumbua vibaya mnooo, mbaya zaidi wanakula hadi kitanda yani wao chochote, wakati wanaingia ndani nilikua nakuta matone ya damu

Nikawa nafikiri ni ushirikina 🤣🤣 tega kila aina ya mtego wapiii, masumu yotee mpaka kuna ile gundi flani hivi , weka kwenye njia zao naishia kukamata mijusi tuu,

Siku moja nikapitia duka la dawa za binadamu nikamueleza anipatie ile indocid ndipo aliponisanua sasa akaniambia kama ni panya wawekee kwenye nyanya ( hii indocid niliwahi itumia sana lakini haikua na matokeo kabisa kwa sababu ya namna ya utegaji) basi siku hiyo hiyo nikakata nyanya kama tano na kuzipaka indocid kisha nikatupia kwenye maeneo yao,

The rest is history......... mpaka muda huu sijaona wala kusikia wale panya tena na vimilio vyao vile kama ndege
 
wapo sehem kibao tu mbona hta ilala wamejaa wanakula panya wa kawaida na paka akiwaona anawapuuza sijui kwann ali hat akiwakamata alaf wababe hao kuna jamaa etu alimpga teke akamlukia akang'ata kidole ila uzur wao hawapend ndan wao nje tu
 
Lakini Kawe kuna Wanyasa wengi sana, wanaishi na Watanzania wakiwafanyisha kazi kwa mshahara kiduchu achilia mbali hao wanaokuja kwa Posa Boy.

Tena hawana vibali na hawajui Kiswahili vizuri, eti na kambi ya jeshi ipo jirani hapo hapo na ina vikosi muhimu kadhaaa.

Mtajua wenyewe na nchi yenu ya laana.
Em nenda hhuko umelaaniwa wewe peke ako
 
Back
Top Bottom