Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Maalim Faiza,Hii mada ya Magufuli? Si kafungue uzi wake utapata majibu.
Au yanakuumiza unayo yasoma hapa sasa upo mbioni kuhamisha magoli?
Walikataa kutokana na upotoshaji uliopo!Maalim Faiza,
Historia hii imewachoma wengi.
Oxford University Press Nairobi waliusoma mswada wa kitabu changu.
Wakaniambia ni kazi nzuri lakini hawawezi kukichapa kwa kuwa wao
wanafanya biashara na serikali ya Tanzania kuchapa kitabu changu
ni muhali mkubwa kwao.
Nilianalia Kenya baada ya publishers hapa nyumbani kukataa kukichapa
hiki kitabu.
Mada ya historia za viongozi. Kuna vingozi wengi wametajwa hapo juu.
Au unataka kumvunjia heshima Magufuli kwamba si kiongozi anayefaa kujulikana historia yake, anayefaa kujulikana ni Sykes tu?
Dilikeni,Hii historia utaipata kwa mkuu Mohammed Said tuu,Allah akuhifadhi,Nikipitia maandiko yako kuna mengi huwa najifunza,Jazakallahu khayr Al akhy Mohammed Sayd
"Upotoshaji" kwa tafsiri yao. Nafikiri unanielewa!Gangongine hapana sababu haikuwa hiyo. Kitabu kiliambatana na pitio la profesa mmoja wa historia ambae aliusifu mswada kama kazi nzuri inayostahili kuchapwa.
That is neither here nor there.KUTOKA RAIA MWEMA: ALI MWINYITAMBWE NI NANI HASA? MAKALA YA EZEKIEL KAMWAGA
Mohamed SaidJuly 05, 2017
Hilo jibu kwa Faizafoxy.Al Watan,
Sijui kwa nini unasema maneno haya.
Sithubutu kumvunjia heshima rais au yeyote awaye yule.
Mimi nimeandika historia ya waliopigania uhuru wa Tanganyika na nimenza
kutokea enzi za African Association katika 1920s hadi uhuru ulipopatikana 1961.
Tuandikie wewe historia ambayo unaijuwa kuwa si upotoshaji. Au japo kopi na kupesti hapa uipendayo. Ukishindwa ujuwe u muongo."Upotoshaji" kwa tafsiri yao. Nafikiri unanielewa!
Umesoma vizuri post yangu? Naona hujaelewa mantiki na balagha iliyomo ndani yake!Tuandikie wewe historia ambayo unaijuwa kuwa si upotoshaji. Au japo kopi na kupesti hapa uipendayo. Ukishindwa ujuwe u muongo.
Simple.
Chapati na mchuzi haikukutosha, sasa umeongeza na Saigon...Hilo jibu kwa Faizafoxy.
Bado unanipiga chenga kunijibu kama Magufuli ataweza kula chapati kwa mchuzi Saigon.
Umesoma vizuri post yangu? Naona hujaelewa mantiki na balagha iliyomo ndani yake!
Hujaelewa mantiki. Nimefanya Tashtiti kwa kaka Mohamed kuwa wao ndio wanaona kuna upotoshaji wakati kimsingi hakuna upotoshaji wowote! Umenipata?Nimeona hiyo "yao", sijaona walipoandika wamekataa kuchapisha kwa sababu ya "upotoshaji".
Ndiyo maana nikakwambia utuletee wewe uijuayo isiyo na " upotoshaji".
Balagha hapo ni " upotoshaji" na "yao". Maana kuu na mzizimwa neno " balagha" niijuwayo ni "kumbusho". Labda wewe unaijuwa vingine, hilo so tatizo kwangu.
Lands useme sijaelewa mantiki yako lakini kwa balagha haupo sahihi.
The lovers of romance can go elsewhere for satisfaction but where can the lovers of truth turn if not to history? ~Katharine AnthonyImebakia historia tena historia ya juzi ambayo haiwezi kubadili historia ya kesho!
Hapo nimekupata na mantiki nimeielewa. Ahsante.Hujaelewa mantiki. Nimefanya Tashtiti kwa kaka Mohamed kuwa wao ndio wanaona kuna upotoshaji wakati kimsingi hakuna upotoshaji wowote! Umenipata?