Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
Maalim Faiza,Hii mada ya Magufuli? Si kafungue uzi wake utapata majibu.
Au yanakuumiza unayo yasoma hapa sasa upo mbioni kuhamisha magoli?
Historia hii imewachoma wengi.
Oxford University Press Nairobi waliusoma mswada wa kitabu changu.
Wakaniambia ni kazi nzuri lakini hawawezi kukichapa kwa kuwa wao
wanafanya biashara na serikali ya Tanzania kuchapa kitabu changu
ni muhali mkubwa kwao.
Niliangalia Kenya baada ya "publishers," hapa nyumbani kuogopa kukichapa
hiki kitabu.