Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Hapo kwenye fedha hawawezi wote kutoka bara. Lazima mmoja atoke Zenj.
 
Mwigulu lifukuzwe lihamie Burundi halina maana hata kidogo!
 
Yajayo yanafurahisha…
Hata kama kuhamishwa kwa mnyira hakutaleta unafuu wa tozo, ila kitendo cha kuhamishwa kwake ni faraja tosha kwa sisi waathirika wa tozo…
Unajua muanzisha Tozo ni VP??

Hao akina Mwiguru ni bahasha tu.


Mbunifu wa ukusanyaji mapato hii nchi ni VP.
 
Wizara ya fedha ni ya muungano, hawawezi kuteua waziri na naibu wote toka upande mmoja.
 
Mwehu pekee atakuunga mkono
 
 
Next PM Tax kwa sasa wanamjengea ushawishi wa kisiasa kupitia Bunge.
 
Hapo kwenye fedha hawawezi wote kutoka bara. Lazima mmoja atoke Zenj.
Mi yale mambo 22 ya muungano huwa hayakai kabisa kichwani, maana yasiyo ya muungano bado yanafanywa ya muungano, ya muungano yanakubalika upande mmoja tu wa Jamhuri na kukataliwa upande wa kisiwani, usisahau mshirika mkuu mmoja wa muungano alishakufa.
 
SALUM MWALIMU anaenda CCM kimkakati au ndo NJAAA mbaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…