Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

Wizara ya fedha ni ya muungano, hawawezi kuteua waziri na naibu wote toka upande mmoja.
Wizara ipi sio ya muungano? Sina utaalamu wa sheria na katiba, kuna sehemu yoyote inayosema Wizara fulani katika serikali ya JMT itahusika na Tanganyika tu? Kuna wizara yoyote ya SMZ inaripoti kwa raisi wa JMT?
 
Nchi hii imeangushwa na haohao wanye CV kurasa 10.
 
Reactions: BRB
Wizara ipi sio ya muungano? Sina utaalamu wa sheria na katiba, kuna sehemu yoyote inayosema Wizara fulani katika serikali ya JMT itahusika na Tanganyika tu? Kuna wizara yoyote ya SMZ inaripoti kwa raisi wa JMT?
Waziri wa mambo ya ndani,,fedha,,ulinzi,,muungano na mazingira hawa wanapiga kotekote bara na visiwani. Ila waziri wa kilimo yeye anapiga huku bara tu hausiki na visiwani..hizo ni baadhi tu
 
Kuongea uwongo mtu aliye kwenye ofisi ya serikali ni majanga nchi nyingine mtu siku ya pili ana resign lakini kwetu uso mkavu utasema sio yeye aliyeongea sasa mtu kama huyu ndio PM ana uwezo gani leo wakukemea wengine kwa kusema uwongo wakati yeye alisema uwongo wazi kabisa. Ila kama hakukusudia alisema alichokuwa anakijuwa basi kapwaya inaonesha kiasi gani yuko out of coverage ni ku step down ila hatuna maadili katika maisha ya kawaida au public service.
 
Vipi mchungaji Gwajima, atatutoa? Apewe wizara gani huyo jamaa?
 
Waziri wa mambo ya ndani,,fedha,,ulinzi,,muungano na mazingira hawa wanapiga kotekote bara na visiwani. Ila waziri wa kilimo yeye anapiga huku bara tu hausiki na visiwani..hizo ni baadhi tu
Asante sana. Kwahiyo huu mkanganyiko ni wa kimakusudi kabisa, kuwa wizara nyingine za serikali ya JMT ni za Tanganyika? Ila zinaripoti kwa raisi wa JMT?

Sasa kwanini kusingekuwa na marufuku ya raisi kutoka Zanzibar? Maana ataongozaje wizara zisizo za muungano? Na kwasababu hiyo, next on line na wote wanaoweza kuwa kwenye kiti, iwe marufuku kuwa waZanzibar.
 
Kiukweli wa mwenyezi mungu mwngulu na chawene waondolewe kabisa.

Hawa watu kiuongozi bado. Wapo kibabe zaidi ya sheria. Watafutiwe ofisi yao pale lumumba.
 
Hii tetesi mbovu kabisa. Ummy wizara ya fedha hapana kabisa. January Makamba na afya Noooooo
 
Mnamsifia sana makamba sijui kwa lipi hasa. Sijawai muona katika nyazfa zunazo mkutanisha na wananchi moja kwa moja. Sema wamweke tumpime mapema kama ana fit au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…