Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Prof. Mwandosya
 
Huoni aibu kuiweka hiyo list
Watu washatumia huko serikalini
Wakastaaafu....leo mnataka kuwarudisha
Hivi tanzania ukiwa kiongozi no kustaafu ehh

Ova
 
nani kakwambia kinana ni Lt?
 
Paul Christian Makonda, Humphrey Polepole, na Dr Bashiru.

Hayo majambazi uliyoyataja hayafai.
Tafadhali tengeneza poll inayowajumuisha hawa miamba
1. Paul Christian Makonda,
2. Humphrey Polepole,
3. Dr Bashiru Ally Kakurwa
4. Anthony Mtaka
5. ...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…