Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Pre GE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Impossible on earth! Sana sana ni ukuu wa wilaya basi!
 
Dr. Bashiru ni chuma cha pua. Samia kama anataka kutemana na wahuni basi amvute Polepole na Dr. Bashiru uone kama kuna mtu ataleta chokochoko. Huko kwingine TISS watajuana wao
Nakazia hapa,,
 
Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Anaenda kumsaidia Mama?
 
Ccm oyeeee
Sasa kama nafasi ilivyokuwa wazi, ndivyo hivyo jina linalosemwa sana ndani ya chama kwa sasa ni kinara wa upinzani aliyeamua kuingia chama tawala .Mch Msigwa sasa kuyatwaa madaraka haya makubwa
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana. Maana haikuwa jambo la Kawaida Mch Kusaliti Wananchi na waumini wake.
 
Hakuna kitu kama hicho! Nafasi nzito kama hiyo huwezi kumpa mtu ambaye hajakijua chama vilivyo!
Anyway sijui.
Bashiru alikuwa Mwalimu tu wa Udism na hakuwa kuwa mwanaccm wala active politician. Na alikuwa Katibu Mkuu CCM.

Why not prominent politician kama Mch Msigwa?
 
Wakuja akale mema ya wazawa!! Pia msaliti hana nafasi!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
WhatsApp Image 2024-07-18 at 11.21.34.jpeg
 
Mimi binafsi naona yeyote anafaa japo Kwa Dr.Nchimbi angeendelea na nafasi yake Ili azidi kujinoa Kwa baadae.

PM Mstaafu Mzee Pinda chaguo la kwanza na Mzee Wasirra chaguo la Pili(Kwa Wasirra Umri umeenda sana ).

Naomba kuwasilisha 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1818185281536766333?t=1txcLuW3OOBDWm9f8vBvOg&s=19

(Wimbo) CCM ni ile ile, ooh ni ile ileee. Wote wamechoka kwani hakuna mawazo mapya? Basi Makonda. Mbona CCM wanasema Wana watu wengi au wote kashfa ndogo ndogo zinawaandama?
 
Mwenyekiti vile anavyopenda kusaidiwa kila jambo, si ajabu Nchimbi akawa Mwenyekiti...
 
Back
Top Bottom