Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

Nani kuwa Naibu Spika? Ikumbukwe ni lazima awe Mbunge

Hoja haipigwi rungu, naomba kuwasilisha....[emoji1787][emoji23]
IMG-20220108-WA0017.jpg
 
Haaaaa visitors wanakusainia nyaraka mkaazi mwenyeji au mzawa?
Hahahahaha .......ndiyo maajabu ya Tanganyika. Mtanganyika hajawahi kuingia kwenye Baraza la Wawakilishi hata Ile kusalimia tu.
 
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
Usishangae akawa Muunguja.
 
Naibu Spika angepewa hugo huyo TULIA ili awe na VYEO VYOTE maana ana Tamaa
Ili kupunguza hasara ya muda na raslimali fedha-Ikiwemo ada ya kuchukua fomu,posho za vikao,mafuta,rushwa nk ni bora tu ateuliwe.Wanatumia kodi zetu hao,nadhani hizo chaguzi zina gharama.
 
Mkeka wa Spika ndio umekamilika ambapi utabiri wa Pascal Mayalla na Genta juu ya Spika ajaye umekamilika.

Sasa nafasi ya Naibu Spika iko wazu.

Nani atatufaa?

Je, ni vema akatokea Zanzibar kwa tiketi ya ACT wazalendo?

Maendeleo hayana vyama.
Weka kifungu cha sheria au katiba ya nchi kinachosema naibu spika lazima awe mbunge
 
Huenda Naibu akatoka miongoni mwa wale waliowania nafasi ya Uspika, labda kamatungepata kujua wale walioenguliwa mwishoni kabla ya kumpata Tulia walikuwa kina nani...
 
Mama Samia kaamua kuwafutilia mbali sukuma gang kwenye ulingo wa siasa wakati yeye kafikishwa hapo na sukuma gang
Kama Mzee wa kitovuni alivyowafuta msoga gang na huku aliwekwa magogoni na wao
 
Mama Samia kaamua kuwafutilia mbali sukuma gang kwenye ulingo wa siasa wakati yeye kafikishwa hapo na sukuma gang
kwani sukuma gang ndiyo watanzania zaidi? wala siyo walimfikisha hapo ni katiba fariki wao hawana mamlaka zaidi ya watanzania wengine
 
Back
Top Bottom