May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,311 Reaction score 9,027 Feb 4, 2022 #41 Utabiri gani ulikamilika?...unamwaga mafuta ya kupikia sakafuni alafu unamwambia Mtu atateleza...alafu akiteleza unashangilia umetabiri.
Utabiri gani ulikamilika?...unamwaga mafuta ya kupikia sakafuni alafu unamwambia Mtu atateleza...alafu akiteleza unashangilia umetabiri.