mbona mnakazania wimbo wa mtazamo, afande kwenye lile shindano aliingia na wimbo darubini kali na sio mtazamoKwa ile ngoma ya mtazamo basi afande alistahiri..Prof jay alikua mkali lakin ndio alikuepo kwenye mtazamo,so automatically afande anashinda
Mfalme wa rhymes ilikuwa inachukuliwa kwa nyimbo za ndani ya mwaka, sio uwezo wa mwanamuziki kiujumla, ni wimbo fulani katika mwaka husika ndio unashindanishwa.
Sasa kwa mwaka 2003/2004 darubini kali haikuwa na mpinzani tizama mistari yake mule, kidogo nhoma nyingine kali nadhani ni msinitenge ya prof jize..
Fid q hakuwa na ngoma kali msimu huo..
Ila fid alikuwa anaelekea kuchukua ya mwaka 2005 na ngoma yake ya mwanza mwanza kama sikosei, ila watu ndio wakaleta zengwe shindano likafa na wasanii walileta utata baada ya kuona mshindi ameshajulikana..
Ukisikiliza ngoma ya nako2nako na fid inaitwa hakuna mahali kama, fid ameongelea hii ishu.
mbona mnakazania wimbo wa mtazamo, afande kwenye lile shindano aliingia na wimbo darubini kali na sio mtazamo
Washindi...
1. AFANDE SELE
2. INSPECTOR HAROUN
3. MANDOJO NA DOMOKAYa
4. Mwanafa
5. Prof Jay
Sele alistahili.. Ila Solo kukosekana hata 5 bora hakika walizingua sana..
usiwe mbishi, wimbo alioingia nao ni darubini kaliNakataa Kipindi ambacho Afande anachukuwa Ufalme wa rhymes wimbo wa tarubini kali ulikuwa hautoka Mkuu.
Darubini ulitoka baada ya kupewa ushindi
Huyu hajui kitu.usiwe mbishi, wimbo alioingia nao ni darubini kali
Mkuu darubini kali ft ditto ndio afande alichukulia tuzo.Nakataa Kipindi ambacho Afande anachukuwa Ufalme wa rhymes wimbo wa tarubini kali ulikuwa hautoka Mkuu.
Darubini ulitoka baada ya kupewa ushindi
Wimbo uliompa ufalme ni darubini kaliWimbo uliompa ufalme wa rhymes Afande ni MTAZAMO na sio darubini ila siku anatangazwa kua mfalme ndio siku alipoitambulisha rasmi DARUBINI had akawa anaombwa na mashabiki aurudie mara kwa mara!!
Alistahili professor Jay. Afande alikua anaujua fika uwezo wa professor, hata wakati wa kurecord 'mtazamo' afande alifuta original verse yake baada ya kuisikiliza verse ya professor Jay.
Verse ya jay kwenye wimbo upi
Mzee mwenzangu hebu tuwekane sawa mtazamo imetoka mwaka gani na darubini kali imetoka mwaka gani?Darubini ilitoka baada ya kupewa tayari ufalme was rhymes lakini kwenye mashindano aliingia na wimbo mtazamo ambao aliwashirikisha wasanii Wawili.Afande sele alibebwa sana katika ushindi ule kwa kuchukuwa wimbo ambao tyr alibebwa pia
Mbona sasa hakuingia hata top 5? Kama sijakosea top 5 ilikua;Alistahili professor Jay. Afande alikua anaujua fika uwezo wa professor, hata wakati wa kurecord 'mtazamo' afande alifuta original verse yake baada ya kuisikiliza verse ya professor Jay.