Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu

Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
 
Kamati kuu itaamua lakini Mbowe hatagombea, ataenda Hai kuchukua ubunge wake
 
Hapo hakuna mgombea.

Historia inasema, CDM haijawahi KURUDIA mgombea Urais.
 
Chadema haitabiriki , wote wanaweza badilishiwa gia abadani
 
Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu

Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Ingawaje ni kupoteza muda tu maana hawatatangazwa, mgombea anayefaa sasa hivi kwa CHADEMA ni John John Mnyika na mwenza wake awe Salim Mwalim!
 
Mnyika hanaga mvuto, mpayukaji sana
 
Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu

Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Wanavizia mtu atakayejitoa CCM kwa kukatwa kama Luhaga Mpina ili wapate nguvu ya sukuma Gang!
 
Najua MaCCM mnamuogopa sana Lissu
2025 lazima mnyooshwe na huyo mama yenu asiye na mvuto.
Mtapigwa kipigo cha Mbwa mwizi na hamtaweza kuiba.
 
Kamati kuu itaamua lakini Mbowe hatagombea, ataenda Hai kuchukua ubunge wake
Je ni tetesi au mwenyewe kathibitisha.?
=
btw: Kuna hii picha nimeitoa huko jamhuri X
1699535708960.png
 
Back
Top Bottom