Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu

Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Patriotics vs Puppets =suffocation of Chadema and later on dying of chadema like cuf completely
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu kwenye box la kura.
Usipate tabu hata marekani wagombea kila mara wanalalamika kuibiwa kura na michezo michafu
 
Hapa wizi unafanyika kwa kuiga US ama?
Chaguzi ndivyo zilivyo na kazi ya siasa ndio ilivyo ,ukitaka fair ground kwenye siasa uchaguzi ufanyike sayari nyingine.Anza chaguzi za maraisi wa vyuo na kuendelea
 
Chaguzi ndivyo zilivyo na kazi ya siasa ndio ilivyo ,ukitaka fair ground kwenye siasa uchaguzi ufanyike sayari nyingine.Anza chaguzi za maraisi wa vyuo na kuendelea
Sasa ule utapeli kuwa ushindi unaletwa na sera huwa ni wa nini wakati wizi ndio huamua mshindi?
 
Sasa ule utapeli kuwa ushindi unaletwa na sera huwa ni wa nini wakati wizi ndio huamua mshindi?
Siasa ndivyo ilivyo unafikiria kwanini wanaojiandikisha ni m20 wanapiga kura ni m10
 
Back
Top Bottom