SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona unampamba sana atakuwa mumeo huyu bila shakaDogo Acha kutukana hovyo halima mdee ni mwanachama halali wa chadema na ni mbunge wa viti maalum akiwaikilisha vyema chadema mule bungeni.
Patriotics vs Puppets =suffocation of Chadema and later on dying of chadema like cuf completelyWanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu
Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
Usipate tabu hata marekani wagombea kila mara wanalalamika kuibiwa kura na michezo michafuTanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu kwenye box la kura.
Hapa wizi unafanyika kwa kuiga US ama?Usiopate tabu hata marekani wagombea kila mara wanalalamika kuibiwa kura na michezo michafu
Chaguzi ndivyo zilivyo na kazi ya siasa ndio ilivyo ,ukitaka fair ground kwenye siasa uchaguzi ufanyike sayari nyingine.Anza chaguzi za maraisi wa vyuo na kuendeleaHapa wizi unafanyika kwa kuiga US ama?
Sasa ule utapeli kuwa ushindi unaletwa na sera huwa ni wa nini wakati wizi ndio huamua mshindi?Chaguzi ndivyo zilivyo na kazi ya siasa ndio ilivyo ,ukitaka fair ground kwenye siasa uchaguzi ufanyike sayari nyingine.Anza chaguzi za maraisi wa vyuo na kuendelea
Siasa ndivyo ilivyo unafikiria kwanini wanaojiandikisha ni m20 wanapiga kura ni m10Sasa ule utapeli kuwa ushindi unaletwa na sera huwa ni wa nini wakati wizi ndio huamua mshindi?
Usitake kulazimisha ili kuhalalisha uhayawani.Siasa ndivyo ilivyo unafikiria kwanini wanaojiandikisha ni m20 wanapiga kura ni m10