Nani mkali kati ya Haruna Niyonzima na Clatous Chama?

Mkuu usimfananishe baba mzazi na wakambo,ni vitu viwili tofauti kabisa,niyoo niyooo mzima mzima,usimfananishe na huo uchafu sio size Yake
 
Haruna yupi unasema? Niyonzima fabregas? Au huyu baba mzazi?
 
Mkuu usimfananishe baba mzazi na wakambo,ni vitu viwili tofauti kabisa,niyoo niyooo mzima mzima,usimfananishe na huo uchafu sio size Yake
Mbona alikosa namba Simba..?
 
Kumbe Kamusoko ni ticha wa Haruna?
 
Haruna Niyonzima?
Hiki ni kichekesho. Siyo mbaya lakini huwez kamwe kumfananisha na CCC.
Angekua na viwango hivyo asingeachwa na SSC
Kuachwa inasemekana ni tabia haikuwa nzuri kikosini japo hata nafasi alikuwa anaipata kwa shida
 
Acheni ujinga. MVP inatosha kukwambia nani zaidi...
 
Zaman watu kama wewe wangefukiwa chini ardhini wangeachwa kichwa tu halafu wakojolewe na kunyewa kichwani na kundi la watu wasiopungua 100. Na kuachwa hapo kwa siku 7.

Unawezaje mfananisha mtu mwenyw PHD ya mpira na mtu mwenye Diploma ya Mpira? Yaani Chama unamfananisha na Haruna? Wewe ulipaswa upigwe Mawe hadi kufa.
 
Mada inajieleza kuwa nani bora zaidi ya mwingine..?

Usitake kutuaminisha kwamba huko zamani kulikuwa hakuna maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…