Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Habari wana jamvi, leo nimewaletea hawa wadogo zetu kutoka WCB, nataka tuwashindanishe kwa kila kitu kuanzia mziki wao, live performance zao, swaga zao, uvaaji wao na kila kitu ki ujumla.

1473089387365.png


1473089398966.png
 
Vinyimbo viwili tu mshaanza kuwapambanisha, pambanisha wasanii wa maana basi
kama tanzania imewaelewa halina tatizo wapambanishwe tu kuna watu wananyimbo zaidi ya hizo ila watu hawa wafahamu unawafahamu haw nash mc songa nikk mbish kr mulla
 
Back
Top Bottom