brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Habari wana jamvi, leo nimewaletea hawa wadogo zetu kutoka WCB, nataka tuwashindanishe kwa kila kitu kuanzia mziki wao, live performance zao, swaga zao, uvaaji wao na kila kitu ki ujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona diamond kipindi anatoka pamoja na belle nine walipambanishwa hali ya kuwa walikuwa na nyimbo chache??Vinyimbo viwili tu mshaanza kuwapambanisha, pambanisha wasanii wa maana basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkali simba kamla hadi balozi wake
Mleta mada kasema harmonize na ray vanny we unasema dully unajielewa kweli wewe.Toka bongo fleva ianze sijaona zaidi ya mtoto wa kkoo prince dully sykes AKA mr misifa
kama tanzania imewaelewa halina tatizo wapambanishwe tu kuna watu wananyimbo zaidi ya hizo ila watu hawa wafahamu unawafahamu haw nash mc songa nikk mbish kr mullaVinyimbo viwili tu mshaanza kuwapambanisha, pambanisha wasanii wa maana basi