makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
🤣🤣Mkuu Sean Paul na R Kelly?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mkuu Sean Paul na R Kelly?
Hapa umeongea mkuu maana nyimbo za shaggy nazijua lakini nimekua kipindi Sean Paul akiwa kwenye peakOrville Richard(shaggy) alibamba sana kiasi mpaka anakuja Sean tyr mwamba alikuwa kashamaliza kipindi chake hivyo kumshindanisha Sean na Shaggy nahisi sio sawa kwani walihit ktk vipindi tofauti na kila mtu alitukamata kwa kipindi chake
Kasikilize in The Summertime la mr.bombastic
Haijaenda hiiMkuu Sean Paul na R Kelly?
Au Usher na ChrissKwa sisi wakongwe tutakwambia Shaggy..
Ila kwa watoto wa juzi watakwambia Sean Paul mkali yaani ni kama Bob Marley kumlinganisha na Luck Dube
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app