miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Aah, uoo seaaan.... our old era....sasa hv hata kujizungusha ziwezi. Hahaha i love them both. Kwa club bangers ni sean. Kwa utulivu ni shaggy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂Ukiniambia kuchagua nachuga wote, ukiniambia mmoja naacha wote sababu siwezi kupendelea hii paper ngumu
Shaggy kaanza kuwika mwaka 1993, Sean Paul mwaka 1996. Argument kwamba walikuwa era tofauti haina mashiko.Kwa sisi wakongwe tutakwambia Shaggy..
Ila kwa watoto wa juzi watakwambia Sean Paul mkali yaani ni kama Bob Marley kumlinganisha na Luck Dube
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
We nadhani humjui huyo shaggySean Paul kamuacha Shaggy mbali sana. It's not even fair kuwafananisha.
Simjui ila namfahamu sana tu.
Ni hitmaker ila kimuziki hamfikii ... Hujaona tatizo la hiyo sentensi Mkuu? Halafu mojawapo ya attribute ya good artist ni LONGEVITY. Sean Paul mpaka leo yuko active na relevant. Mara ya mwisho kusikia wimbo wa Shaggy ilikuwa lini?Shaggy kawa Nominated kwenye Tuzo za Grammy mara 8 kashinda mara mbili mwaka 1996 na mwaka 2019 kipengele cha Best Reggae Album, Sean Paul kawa Nominated mara 10 kashinda mara moja mwaka 2014 kipengele hicho cha Best Reggae Album,Sean Paul ni hitmaker ila kimuziki hamfikii Mr loverlover Mr Bombastic Really Fantastic Shaggy You Don know, we yuh ah seh.
Nakubaliana na hili. Shaggy amewahi kuchujaNi hitmaker ila kimuziki hamfikii ... Hujaona tatizo la hiyo sentensi Mkuu? Halafu mojawapo ya attribute ya good artist ni LONGEVITY. Sean Paul mpaka leo yuko active na relevant. Mara ya mwisho kusikia wimbo wa Shaggy ilikuwa lini?
Huwa tubakubaliana sometimes tuzo ni utashi tu wala sio real reflection ya uwezo wa mtu.Shaggy kawa Nominated kwenye Tuzo za Grammy mara 8 kashinda mara mbili mwaka 1996 na mwaka 2019 kipengele cha Best Reggae Album, Sean Paul kawa Nominated mara 10 kashinda mara moja mwaka 2014 kipengele hicho cha Best Reggae Album,Sean Paul ni hitmaker ila kimuziki hamfikii Mr loverlover Mr Bombastic Really Fantastic Shaggy You Don know, we yuh ah seh.