Nani mkali wa kudance kati ya Chino wanaman vs Msami

Bado nipo pale pale...... zingatia era mkuu

Enzi ya Msami Baby mziki wetu hakuwa unafanya vizuri international kama sasa, ulikua unaishia EA Tv

Chino ana enjoy international recognition ya muziki wetu, Trace, Channel nk nk
award zipo mpaka category ya East Africa..... lazima umuone international na Msami alikua local

Akina Msumi walikua na dance style zao kwa kipindi hicho kama walivyo wakina Chino na style zao za amapiano nk
Msami alisumbua sana tu nyimbo zili hit sana na alikua Top dansa enzi hizo

Enzi hizo muziki tanzania kitovu ilikua ni THT, wasanii wa THT walikua juu sana wanabebwa na Clauds Msami alikua top na sio vigododoroni mkuu

Hakuna msanii anayedumu milele, ni sawa na kusema Rich mavoko ni local na wakati amewahi kufanya makubwa sana sema soko la muziki linamkataa kama alivyo Msami

Usimuone anapiga vigodoro uswahilini anaganga njaa tu ila aliku top dancer na hit song kali
Umemaliza Msami ,kitambo saana ,na hadi akawa mwalimu pale THT

Hivi Fred yuko wapi nae alikua dancer mzuri tu dogo yule
 
Bado nipo pale pale...... zingatia era mkuu

Enzi ya Msami Baby mziki wetu hakuwa unafanya vizuri international kama sasa, ulikua unaishia EA Tv

Chino ana enjoy international recognition ya muziki wetu, Trace, Channel nk nk
award zipo mpaka category ya East Africa..... lazima umuone international na Msami alikua local

Akina Msumi walikua na dance style zao kwa kipindi hicho kama walivyo wakina Chino na style zao za amapiano nk
Msami alisumbua sana tu nyimbo zili hit sana na alikua Top dansa enzi hizo

Enzi hizo muziki tanzania kitovu ilikua ni THT, wasanii wa THT walikua juu sana wanabebwa na Clauds Msami alikua top na sio vigododoroni mkuu

Hakuna msanii anayedumu milele, ni sawa na kusema Rich mavoko ni local na wakati amewahi kufanya makubwa sana sema soko la muziki linamkataa kama alivyo Msami

Usimuone anapiga vigodoro uswahilini anaganga njaa tu ila aliku top dancer na hit song kali
Hapo sawa
 
Watu kutoka milima ya uluguru waogope sana 🤣🤣🤣
Hawa madancers wengi kama wameathirika fulani na kucheza yule jamaa nilimuona sinza madukani ila miguu haitulii anaruka ruka tu na yuko peace sana ....Yaani mda wote ni kucheza tu
 
Ale chino chino chino
Chino wanaman
Ai wanaman
Sentemeta sentemeta ale sentemeta 😁😁👍🏽
 
Back
Top Bottom