Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

hawa Jamaa wana nyuzi zenye material na ladha tofauti.
Na kwahivyo wote ni wa kali wa nyuzi kwenye maeneo ya taaluma na malengo ya nyuzi zao.
hii kura haina maana sana, ila sio mbaya
 
Duh naona wale machawa hawakubaliki kabisa humu [emoji1]
Kumbe nyuzi zao ni kusifia hazijengi

Ova
 
Yaani kujenga maisha kupitia nyuzi!? mbona unayachukulia maisha poa sana.

Ila nyuzi za kukupa fikra mpya zipo nyingi, na hizi hazina mtu specific, anayetoa nyuzi nzuri leo, basi kesho anaweza akatoa nyuzi ukaona ameandika vitu vya hovyo tu.

But all in all, tunajifunza mengi kutokana na nyuzi na michango mbalimbali ya wadau kwa ujumla.
 
Brother Mayala, Robert, Deeppond na mwingjne hujamwandika hapo, 'raraa reree'; hao binafsi wananisaidia........wananifunza kuishi bila chuki wala hasira. Sijaona wakipanick kwa yeyote yule hata wachokozwe vp. Anavyoshambuliwa Mayala humu wengine wangekuwa wamemaliza matusi yote. 'rara reree' si msemaji sana lakini ni appreciator wa watu wote.....very cool s/he is.
 
Neno kuntu kabisa
 
Unabidii kwel hongera

Skuwai jua km JF kuna followers/ Direct message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…