FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Siyo "udini" sema Uislam, ulitaka niwe kwenye upagani?
Wewe kama haupo kidini upo kipagani, huko kwenye upagani hunipeleki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo "udini" sema Uislam, ulitaka niwe kwenye upagani?
Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama GENTAMYCINE halafu usiwe na Mvuto na Usikubalike hapa JamiiForums.To be honest....
Ziwezi kuchagua yeyote alie mzidi mwingine, kwani wote wana umuhimu katika kila nyanja kama:-
Siasa Pascal Mayalla
Mahusiano Robert Heriel Mtibeli
Hoja nzito/fikirishi Mshana Jr
Michezo GENTAMYCINE
Ana ashk huyo achana nae hana akiliDSiyo "udini" sema Uislam, ulitaka niwe kwenye upagani?
Wewe kama haupo kidini upo kipagani, huko kwenye upagani hunipeleki.
Una kitu na utafika mbalii sanaHuwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama GENTAMYCINE halafu usiwe na Mvuto na Usikubalike hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo Mfalme wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima na ndiyo maana hata Sports Pundits wote wa Radio za Tanzania akina Edo Kumwembe, Ricardo Momo na 95 ya Watangazaji na Wachambuzi wa Soka / Mpira Tanzania 24/7 huja hapa JamiiForums kuangalia Mfalme wa Kizanaki ( Mara ) na
Kiyao ( Mtwara ) GENTAMYCINE nimeandika nini cha Michezo kisha na Wao wanatambaa nayo huko Redioni, Runingani na katika Blogs zao.
Mkuu kwa hii post yako na huku Kunitaja na kunipa hizi sincerely Credits zako hapa umemuumiza kweli kweli Greatest Of All Time ambaye Ananichukia hakuna Mfano baada ya Kumshinda katika Shindano ambalo Wapumbavu fulani walimuaminisha kuwa atashinda na kunishinda huku Nikitukanwa na Kuchafuliwa lakini Mwenyezi Mungu akawajibu Kivitendo kuwa mnamchukia GENTAMYCINE ila ndiyo atashinda na nikashinda kweli na wakasema kuwa IDs zilizonipigia Kura zote ni zangu.
Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu.
Na kuna Nyuzi ( Threads ) kama Mbili au Tatu naziandaa nizitoe leo au kesho hivyo Kaeni mkao wa Kula kwani nina Utajiri mkubwa wa kupata Habari / Taarifa za Ndani ( za TFF, Simba na Yanga ) hivyo nikja na Uzi hapa uamini kwa 100% kwani kwa Habari za Michezo ( hasa za Tanzania ) huwa sibahatishi na bado sijaona / sijamwona wa Kushindana nami. Kudadadeki.....!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Kwa Credit hii CAPO DELGADO amechukia mno.Una kitu na utafika mbalii sana
Sio uislam sema ugaidi, mwislam hawezi kuwa kama weweSiyo "udini" sema Uislam, ulitaka niwe kwenye upagani?
Wewe kama haupo kidini upo kipagani, huko kwenye upagani hunipeleki.
Unamshobokea huyo bibi bahati mbaya kazeekaAna ashk huyo achana nae hana akili
Hata Mandela aliitwa gaidi. Gaidi kwa shetani ni mpigania mema kwa wengine.Sio uislam sema ugaidi, mwislam hawezi kuwa kama wewe
Una uhakika ni bibi kijanaUnamshobokea huyo bibi bahati mbaya kazeeka
Akachukue kamba ajinyongeKwa Credit hii CAPO DELGADO amechukia mno.
Kasha zeeka huoni hata roho yakeUna uhakika ni bibi kijana
Hiyo avata tu kaweka ila mwenyew mzuri tuKasha zeeka huoni hata roho yake
Balance shobo!! Usipende kunitagHuwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama GENTAMYCINE halafu usiwe na Mvuto na Usikubalike hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo Mfalme wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima na ndiyo maana hata Sports Pundits wote wa Radio za Tanzania akina Edo Kumwembe, Ricardo Momo na 95 ya Watangazaji na Wachambuzi wa Soka / Mpira Tanzania 24/7 huja hapa JamiiForums kuangalia Mfalme wa Kizanaki ( Mara ) na
Kiyao ( Mtwara ) GENTAMYCINE nimeandika nini cha Michezo kisha na Wao wanatambaa nayo huko Redioni, Runingani na katika Blogs zao.
Mkuu kwa hii post yako na huku Kunitaja na kunipa hizi sincerely Credits zako hapa umemuumiza kweli kweli CAPO DELGADO na Greatest Of All Time ambaye Ananichukia hakuna Mfano baada ya Kumshinda katika Shindano ambalo Wapumbavu fulani walimuaminisha kuwa atashinda na kunishinda huku Nikitukanwa na Kuchafuliwa lakini Mwenyezi Mungu akawajibu Kivitendo kuwa mnamchukia GENTAMYCINE ila ndiyo atashinda na nikashinda kweli na wakasema kuwa IDs zilizonipigia Kura zote ni zangu.
Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu.
Na kuna Nyuzi ( Threads ) kama Mbili au Tatu naziandaa nizitoe leo au kesho hivyo Kaeni mkao wa Kula kwani nina Utajiri mkubwa wa kupata Habari / Taarifa za Ndani ( za TFF, Simba na Yanga ) hivyo nikja na Uzi hapa uamini kwa 100% kwani kwa Habari za Michezo ( hasa za Tanzania ) huwa sibahatishi na bado sijaona / sijamwona wa Kushindana nami. Kudadadeki.....!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
[emoji375][emoji419][emoji173][emoji173][emoji173]To be honest....
Ziwezi kuchagua yeyote alie mzidi mwingine, kwani wote wana umuhimu katika kila nyanja kama:-
Siasa Pascal Mayalla
Mahusiano Robert Heriel Mtibeli
Hoja nzito/fikirishi Mshana Jr
Michezo GENTAMYCINE
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa Matokeo ya kura nilizoziona hapo kama ingekuw ni Vyama vya siasa basi Robert Heriel Mtibeli Angekuwa ni Mgombea wa CCM Mshana Jr CHADEMA alafu GENTAMYCINE Popoma huyu angekuwa ni Act wazalendo