Nani mkali wa nyuzi zinazokujenga kimaisha humu jF?

To be honest....
Ziwezi kuchagua yeyote alie mzidi mwingine, kwani wote wana umuhimu katika kila nyanja kama:-
Siasa Pascal Mayalla
Mahusiano Robert Heriel Mtibeli
Hoja nzito/fikirishi Mshana Jr
Michezo GENTAMYCINE
Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama GENTAMYCINE halafu usiwe na Mvuto na Usikubalike hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo Mfalme wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima na ndiyo maana hata Sports Pundits wote wa Radio za Tanzania akina Edo Kumwembe, Ricardo Momo na 95 ya Watangazaji na Wachambuzi wa Soka / Mpira Tanzania 24/7 huja hapa JamiiForums kuangalia Mfalme wa Kizanaki ( Mara ) na
Kiyao ( Mtwara ) GENTAMYCINE nimeandika nini cha Michezo kisha na Wao wanatambaa nayo huko Redioni, Runingani na katika Blogs zao.

Mkuu kwa hii post yako na huku Kunitaja na kunipa hizi sincerely Credits zako hapa umemuumiza kweli kweli CAPO DELGADO na Greatest Of All Time ambaye Ananichukia hakuna Mfano baada ya Kumshinda katika Shindano ambalo Wapumbavu fulani walimuaminisha kuwa atashinda na kunishinda huku Nikitukanwa na Kuchafuliwa lakini Mwenyezi Mungu akawajibu Kivitendo kuwa mnamchukia GENTAMYCINE ila ndiyo atashinda na nikashinda kweli na wakasema kuwa IDs zilizonipigia Kura zote ni zangu.

Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu.

Na kuna Nyuzi ( Threads ) kama Mbili au Tatu naziandaa nizitoe leo au kesho hivyo Kaeni mkao wa Kula kwani nina Utajiri mkubwa wa kupata Habari / Taarifa za Ndani ( za TFF, Simba na Yanga ) hivyo nikja na Uzi hapa uamini kwa 100% kwani kwa Habari za Michezo ( hasa za Tanzania ) huwa sibahatishi na bado sijaona / sijamwona wa Kushindana nami. Kudadadeki.....!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Mkuu kwa hii post yako na huku Kunitaja na kunipa hizi sincerely Credits zako hapa umemuumiza kweli kweli Greatest Of All Time ambaye Ananichukia hakuna Mfano baada ya Kumshinda katika Shindano ambalo Wapumbavu fulani walimuaminisha kuwa atashinda na kunishinda huku Nikitukanwa na Kuchafuliwa lakini Mwenyezi Mungu akawajibu Kivitendo kuwa mnamchukia GENTAMYCINE ila ndiyo atashinda na nikashinda kweli na wakasema kuwa IDs zilizonipigia Kura zote ni zangu.

Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu.

Na kuna Nyuzi ( Threads ) kama Mbili au Tatu naziandaa nizitoe leo au kesho hivyo Kaeni mkao wa Kula kwani nina Utajiri mkubwa wa kupata Habari / Taarifa za Ndani ( za TFF, Simba na Yanga ) hivyo nikja na Uzi hapa uamini kwa 100% kwani kwa Habari za Michezo ( hasa za Tanzania ) huwa sibahatishi na bado sijaona / sijamwona wa Kushindana nami. Kudadadeki.....!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Una kitu na utafika mbalii sana
 
Siyo "udini" sema Uislam, ulitaka niwe kwenye upagani?

Wewe kama haupo kidini upo kipagani, huko kwenye upagani hunipeleki.
Sio uislam sema ugaidi, mwislam hawezi kuwa kama wewe
 
Chukua huu uwiano= Likes/ posts, atakayekuwa amemzidi mwenzake ndio yuko vizuri; Pia unaweza kujipima mwenyewe kama mchango wako humu ni pumba au ni point, kama uwiano wako utakuwa 1+ we utakuwa uko vizuri, pungufu ya hapo inatafsiri pumba.​
 
Huwezi kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" kama GENTAMYCINE halafu usiwe na Mvuto na Usikubalike hapa JamiiForums.

Mimi ndiyo Mfalme wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums nzima na ndiyo maana hata Sports Pundits wote wa Radio za Tanzania akina Edo Kumwembe, Ricardo Momo na 95 ya Watangazaji na Wachambuzi wa Soka / Mpira Tanzania 24/7 huja hapa JamiiForums kuangalia Mfalme wa Kizanaki ( Mara ) na
Kiyao ( Mtwara ) GENTAMYCINE nimeandika nini cha Michezo kisha na Wao wanatambaa nayo huko Redioni, Runingani na katika Blogs zao.

Mkuu kwa hii post yako na huku Kunitaja na kunipa hizi sincerely Credits zako hapa umemuumiza kweli kweli CAPO DELGADO na Greatest Of All Time ambaye Ananichukia hakuna Mfano baada ya Kumshinda katika Shindano ambalo Wapumbavu fulani walimuaminisha kuwa atashinda na kunishinda huku Nikitukanwa na Kuchafuliwa lakini Mwenyezi Mungu akawajibu Kivitendo kuwa mnamchukia GENTAMYCINE ila ndiyo atashinda na nikashinda kweli na wakasema kuwa IDs zilizonipigia Kura zote ni zangu.

Jiandae kuambiwa hii ID yako ni yangu.

Na kuna Nyuzi ( Threads ) kama Mbili au Tatu naziandaa nizitoe leo au kesho hivyo Kaeni mkao wa Kula kwani nina Utajiri mkubwa wa kupata Habari / Taarifa za Ndani ( za TFF, Simba na Yanga ) hivyo nikja na Uzi hapa uamini kwa 100% kwani kwa Habari za Michezo ( hasa za Tanzania ) huwa sibahatishi na bado sijaona / sijamwona wa Kushindana nami. Kudadadeki.....!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Balance shobo!! Usipende kunitag
 
Back
Top Bottom