Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

Messi mzee na KDB kijana namchukua Messi mzee

Mtoa mada umepata jibu hapo?[emoji115]
 
Aiseeee, huu sasa ni mzaha. De Bruyne kwa mbali anakuja kuwafikia akina Iniesta, Messi ni kitu kingine.

Barca ikiwa na magwiji akina Xavi na Iniesta, na bado Messi akaongoza assists.
 
Messi ni GOAT !! Kwenye mpambano huu wa pasi mmmh KDB is the best , KDB kwenye pasi za mwisho huyu mwamba hana wakumfikia kwa muda huu
 
Watu hawajui soka kabisa. Yaani wewe mleta mada hujui mpira na wachezaji. Fananisha hivi. Hata kama walicheza wakati tofauti.
1. Pele vs Maradona.
2. Xavi vs zidane
3. Cr7 vs LM10
4 Iniesta vs Modric vs Pirlo
Mpaka kufikia sasa. Wachezaji ambao wamecheza soka kwa kwa viwango vya juu kabisa ni wa4.
1. Messi
2. Maradona
3. Pele
4. CR7
Viungo bora kabisa
1. Andrw Iniesta
2. Xavi Hernandez
3. Luka Modric na wangine wenye viwango vya kina zidane and alike.
kumfaninisha messi na kdb ni kumkosea heshima king Messiah, na kuonyesha ni kwa kiwango gani hujui soka.
Wachezaji wazuri wapo wengi lakini hawajawahi kukaribia uweo waliokuwa nao hao jamaa hapo juu. Yaani viwango vyao havijawahi kushuka.
 
List ya wakali wa Pasi bila majina ya Xavi na Andre Pirlo (Maestro) hio list haijakamilika
Uwe unaelewa mada. Wapi wametaja listi? Nyie ndio huwa mnafeli mitihani kwa kutofuata maelekezo.
 
List ya wakali wa Pasi bila majina ya Xavi na Andre Pirlo (Maestro) hio list haijakamilika
Uwe unaelewa mada. Wapi wametaja listi? Nyie ndio huwa mnafeli mitihani kwa kutofuata maelekezo.
 
Back
Top Bottom