Nani mkali wa Pasi kati ya Kevin De Bruyne Vs Lionel Messi?

Uwe unaelewa mada. Wapi wametaja listi? Nyie ndio huwa mnafeli mitihani kwa kutofuata maelekezo.
nani amekwambia hapa ni mtihani unajua maana ya open forum / Open Dialogoe? ni mtu kuongelea kinachoongelewa kutokana na mada husika; maadam kuna neno pasi basi mimi naweza kuongelea hilo neno pasi au kuonyesha kwamba katika wakali hata hao walioletwa hapa ni subset..., Unaweza ukasema ni nani mkali katika marais baina ya JK na JPM mimi nikakwambia ukitaja neno Urais na Wakali bila Kumtaja JKN mada inakuwa haijakamilika....

Ni open forum sio fill in the blanks..., Ukifuata ushauri wako Jibu ni kati ya hao wawili sababu hata ukisema kwanini unakuwa umekosea..., na wewe kunijibu mimi kuhusu comment yangu unakuwa umekosea sababu ni wapi wamesema huu uzi ni wa kukosoana ?

I think you get the drift.....
 
Duh! Haya Mkuu. [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom