technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Mkuu wa jeshi la Polisi ni mtekelezaji wa sheria za nchi! Law enforcement unit is second largest unit in a country baada ya Jeshi! Huyo Mombo hawezi mpa maagizo IGP na anaongoza idara ambayo mkuu wake ni Rais!Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
Huoni anavyohakainga kugeuza shingo?Hivi kuna mahali huyu mama yake Lucas Mwashambwa anasoma au yote yanatoka akilini naona anaflow tu?
Au kameza hii hotuba?
We fanya mambo yako huna unachojua.Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
Sasa si bora tu angesoma kwenye muhtasari akiwa jukwaani.Huoni anavyohakainga kugeuza shingo?
Na navyoona hotuba hakupata muda wa kuipitia vizuri au leo mama yenu alikuwa na mambo mengiSasa si bora tu angesoma kwenye muhtasari akiwa jukwaani. Basi naacha na kuangalia na bunge lenyewe
Huyo sio mama yangu mkuu mimi ni boss wake nimemwajiriNa navyoona hotuba hakupata muda wa kuipitia vizuri au leo mama yenu alikuwa na mambo mengi
Kwenye hierachy ya vyombo kwa nchi yetu TISS inafuata baada ya Polisi. Mkurugenzi wa hiyo idara ni equivalent na CP wa Polisi.Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
We unajuwa ni Nini ? Nyota au?πππWe fanya mambo yako huna unachojua.
Itifaki imezingatiwa.Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!