Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

Nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP?

Mkuu ni kweli usemayo lakini DG wa TISS nimeongelea hapo juu kiufundi yupo juu ya IGP kwani kwa mfano ana uwezo wa kumweka kizuizini IGP au pia kiongozi yoyote wa ngazi za juu.

Lakini kama ni yeye uamuzi ukipitishwa ni Deputy na mazee wa MI ndo watamweka DG wao kizuizini kama sio…

Huu ni mfano mojawapo wa kwanini DG wa TISS ni mkubwa kwa IGP.

Mfano mwingine ni kuhusu special operations kama kuwashugulikia magaidi au majasusi wa kitoka nje ambao ni TISS ambao huzisimamia na kutoa maagizo kwa IGP ( behind the scenes) ambae atatoa ushirikiano kwa logistics.

Operesheni kama ya kumkamata mtuhumiwa wa uhaini Mohamed Tamim iliongozwa na TiSS na MI, mzee Mabere Marando akiwemo na si Solomon Liani aliekuwa IGP wa wakati huo. Hivyo ukiona hawa TISS wako kazini fahamu Mkuu wa nchi amepewa brief na ameOK operation na IGP apigiwa simu aandae logistics.

Kwa sheria na katiba TISS yapaswa kugawanywa kwa kuwa na ya ndani (domestic kama FBI) inokuwa chini ya Mambo ya Ndani na TiSS foreign (Kama CIA) ambayo inakuwa chini ya wizara ya mambo ya Nje au hukohuko Utawala Bora au Ofisi ya Raisi.

TISS ni idara muhimu kwa nchi si ya kuichukulia poa na huko nyuma niliwahi kutoa mapendekezo ya muundo wake.

Hivyo ni kweli mabadiliko ya katiba na sheria ni muhimu ili kuhakikisha integrity inakuwepo kwenye Idara na vyombo vingine.
Marekani kuna vyombo vingi vya ulinzi na Usalama nashangaa mnavyokomaa na FBI movie zinawachanganya
 
Mnapotosha..Hilo ni Jeshi kama majeshi mengine, wanaenda vitani kama kawaida, tena wanashirikiana kwa karibu mno na MINT kuliko ilivyo kwa Polisi. Depo yao ni full combat, Polisi cha mtoto.
Mzee soma katiba utaelewa nachokisema hapa
 
Back
Top Bottom