Ha ha poa mzee lakini punguza maswali ya kikorofi ili tusikuingilie maana sisi na wapenda AmaniMzee vp mbona unaniatack mm sikuwa najibizana na wewe vp?
Ha ha poa mzee lakini punguza maswali ya kikorofi ili tusikuingilie maana sisi na wapenda AmaniMzee vp mbona unaniatack mm sikuwa najibizana na wewe vp?
Mkubwa ni CDFNauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
huyo mwingine ana bastolaMmoja anapingu mwingine hanapingu
Huyo ana ndege za kivita vifaru makombora na jeshi kubwa Duniani kote Mkuu wa majeshi huwa ndiyo mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na usalamaMkubwa ni CDF
Uliona wapi akimpa maagizo?Nauliza tu maana kiutendaji Mkurugenzi wa TISS anampa maagizo mengi IGP kuliko IGP anavyompa maagizo Mkurugenzi wa TISS.
Inakuwaje mtu katika utambulisho anatangulia kutambulishwa IGP?
Huu ni ubovu wa katiba au Kuna changamoto juu ya uanzishwaji wa TISS ?
Wanasheria nielewesheni!!
😁😁Idara tofauti....
Idara ya usalama wa taifa ipo chini ya Rais. Kiubinadamu Mkurungezi wa TISS yupo karibu saana na boss wa IGP....kama IGP anajipenda anapaswa tu amuheshimu mkurungezi....
Ni sawa na PA na Deputy kwenye maofisi.
Hivi unajua JW wana military intergence inayojitegemea?Umeenda deep sana na ingepasa mjadala ufungwe
JKT ni JWTZ hiyo...1-CDF wa jwtz
2-IGP wa Polisiccm
3-DGI wa idara ya Usalama
Wengine yaani wa
Zimamoto
Jkt
Uhamiaji
Magereza
Ni level moja tu kwani hawapo na kazi kubwa kama ya hao namba moja hadi tatu
MnapotoshaMkuu wa jeshi la Polisi ni mtekelezaji wa sheria za nchi! Law enforcement unit is second largest unit in a country baada ya Jeshi! Huyo Mombo hawezi mpa maagizo IGP na anaongoza idara ambayo mkuu wake ni Rais!
MnapotoshaTiss ni Chombo cha kiraia wala sio jeshi full stop
Sio jeshi ndio ndo maana hata Kumkamata mtu walikua hawawezi mpaka watoe taarifa kwa police juzi tu ndo imetungwa sheria ya kukamataMnapotosha
Sidhani kama wanajuaNenda kwenye kituo kimoja cha polisi ukawaulize
Mnapotosha..Hilo ni Jeshi kama majeshi mengine, wanaenda vitani kama kawaida, tena wanashirikiana kwa karibu mno na MINT kuliko ilivyo kwa Polisi. Depo yao ni full combat, Polisi cha mtoto.Sio jeshi ndio ndo maana hata Kumkamata mtu walikua hawawezi mpaka watoe taarifa kwa police juzi tu ndo imetungwa sheria ya kukamata