Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

Unajua mi sijui hata watu wanajadili nini hasa.. ukiangalia kichwa cha habari utaona kinasema nani ni mkuu kati ya mkurugenzi wa usalama na Mkuu wa majeshi. Sasa nataka niweke majibu hapa. CDF ndo Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama. Note hapo, usalama nao wanamhusu
 
Kwa kuongezea tu,pia hyo CDF ni member wa TISS. Nchi yetu huwezi kupewa madaraka ya kuongoza taasisi yoyte bila kuwa member wa TISS.
 
Kwa sababu tiss ni sensor ya nchi na kuna task ni lazima ushirikiano ufanyike baina ya hivyo vyombo.
Naona wana JF ndio wanasema tiss imepenye ma TISS jeshini. Bila kujua hao ni wanajeshi walikuwa jeshini na wamerudi jeshini, na kule walikuwa na majukumu flani.. jeshi MI inafanya kazi sana, sema sio vidomo domo kama hawa wengine, ndio maana watu hawaelewi lolote na hiyo ndio sifa mojaa kuu sana ya usalama wowote kuto eleweka wala watu kutokujua unafanya nini
 
Usalama huwa inatakiwa iwe kazi ya akili zaidi badala ya kutunisha misuli.
JWTZ kuna watu wana akili kishenzi kuliko hao TISS.. anzia Mabeyo na Diwani.. tukiachana na hawa wa chini.. na unapata picha pana, tazama nchi ilipo kiuchumi na mambo mengine
 
Ulicho kisema ndo ukweli wenyewe
 
Umemaliza kila kitu.
 
hiiiiiii hiii
 
Wewe ndo sio muelewa,huyo uliyesema si kwamba alitolewa jeshini akapelekwa TISS ila ni kwamba tangu awali alikuwa TISS. Na umeshaambiwa TISS wapo kila kada ikiwepo hiyo JWTZ ili kumonitor mambo. Kwahiyo huko mbeleni usije shangaa mkurugenzi wa hospatal Muhimbili akawa DGI TISS.
 

Jeshi na TISS ni Vitu tofauti, However huko Jeshini, Polisi, Magereza etc kuna watu wa TISS, wapo hata kwenye Ofisi za ki Raia.
Wanaitwa ma Shushushu.
Tukija kwenye Concept yako ya Intelinsia ya Jeshi, hata Polisi wana Intelijensia yao.
Intelligensia ya Jeshi iko chini ya Idara Moja inaitwa Military Intelince, ama MI.
MI inahusika zaidi na Usalama wa Jeshi, Tiuna Silaha ngapi na aina gani, jeshi letu liko katika hali, je kuna Jirani ama nchi yeyote ina plan za kutuvamia na lini ?, uwezo wa adui wetu ki jeshi ukoje ?
Je, Mgogoro wa Kijeshi wa Nchi jirani unatuathiri kwa Kiasi gani etc etc
Hii ndio Military Inteligence.
Ila katika Majukumu yake , MI ,Mara nyingi hujikuta nawafanya kazi na TISS
 
Kwahiyo unataka kusema mkurugenzi wa TISS ni boss wa CDF? Ujinga nao ni mzigo. Kwanini CDF ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?
 
Hapa huna uhakika na ulisemalo. Kama TISS ifanyavyo basi hata JWTZ nao wameshafanya kitambo sana. Kiufupi hizi taasisi hakuna anayemuamini mwenzake kwa asilimia 100.
Rahisi sana kuingiza JWTZ kwenda TISS kuliko TISS kwenda jeshini.
 
Mgambo na JKT pia wako chini yake

Wengi wanaokomenti elimu yao ni ndogo au sio wafuatiliaji wa mambo. Wanaposikiaga mkuu wa majeshi hawazingatii ni ni majeshi gani. CDF anaitwa mkuu wa majeshibya ulinzi. Majeshi ya ulinzi ni jeshi la anga, maji na ardhi.
 
Jeshini hakuna watu, kuna wanajeshi [emoji1][emoji1][emoji1].. Kuna watu wana access ya moja kwa moja na RAIS kwenye kila idara hata huko TISS penyewe na diwani hawajui, na hata polisi na ipo hivyo hata JWTZ
Mtafute mtu yoyote mwenye akili na busara. Muulize kwa upole, utapata majibu
 
Kwahiyo unataka kusema mkurugenzi wa TISS ni boss wa CDF? Ujinga nao ni mzigo. Kwanini CDF ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?
CDF sio Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Chief of Defence Forces
Na Deffence Forces ni zile Three Commandants (Kamandi) za jeshi, Airforce, Navy nchi Kavu.
Kuna Nchi nyingi tu hawana Navy, Land locked Countries ama nchi ambazo zimezungukwa na nchi nyingine na hazina Water Bodies / Bahari, Mfano Malawi etc
Kwa kwetu National Service imeongezwa kama Kamandi ya Jeshi.
Mfano ukiichukua TPS, Tanzania Prisons Services kuwa chini ya Jeshi, na Yenyewe itakuwa sehemu ya Defence Forces under CDF
Kimsingi CDF ni Mkuu wa Jeshi, kwa Tanzania ni Mkuu wa JWTZ na sio Mkuu wa Polisi, TISS,Magereza etc
Hao wana wakuu wao
 
Kwahiyo unataka kusema mkurugenzi wa TISS ni boss wa CDF? Ujinga nao ni mzigo. Kwanini CDF ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?
Kwa yako na wengine wasiowaelewa na kiprotocal CDF anaonekana yupo juu ila kimajukumu TISS ndo yupo above all na do moyo na injini dola. Mfumo wa huu wa utawala ali uasisi Nyerere na ndo maana nakwambia unavyosikia nchi nyingine jeshi linapindua nchi,kwa Tanzania haiwezekani maaana hakuna kiongozi wa jeshi anaweza kuorganize hilo jambo akafanikiwa,mashushu wamejaa kila kona na jeshini ndo wamejaa balaa.
 
We naona unaropoka. Military intelligence ni nini? Na inafanya kazi gani naomba unijibu kwa hoja
 
Kwahiyo unataka kusema mkurugenzi wa TISS ni boss wa CDF? Ujinga nao ni mzigo. Kwanini CDF ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama?
CDF sio mkuu wa wa majeshi ya ulinzi na Usalama acha ujinga,ulisikia lini akiitwa hivyo au wewe ndo umeanzisha hicho cheo? Yeye ni mkuu wa majeshi ulinzi. Kama hujui majeshi ya ulinzi ndo nikutajie ni jeshi la anga, la maji na ardhi. Kiongozi wa mashi yote ya ulinzi na usalama ni Rais ndo maana anaitwa Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
 
Huyo jamaa sio mwelewa kabisa ni la saba failures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…