Wana vyuo Na sehemu zao maalum... Si jeshini....
Hawa wanaonekana wadogo kutokana Na mfumo wao wa kufanya kazi nyuma ya pazia...lakini..Cdf..ili apite file yake lazima ipitie kwao... na hata rais!
Jeshi Lina nguvu ...watu Na silaha nyingi zaidi..Ila ikitokea Vita mpaka jeshi kwenda kupigana ujuwe...TI...kahusika ndio maana wapo mpaka jeshini Ila wanalipwa Na kitengo!...
Cdf...anaweza zimwa na hawa jamaa Ila yeye Hana uwezo wa kuwazima!... Na ndio Wana uwezo wa kumonitor Na kucontrol mpaka taasisi ya raisi!
Cdf..ni mkuu...wa vyombo vyote vya ulinzi Na usalama ila si kwa kitengo!
Sent from my TECNO CD6 using
JamiiForums mobile app