Uchaguzi 2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

Anatetea wachache na pia ni wanawake,[emoji23]
Na si mara ya kwanza kufanya hivyo; kila wakati lisakosi likikurupuka katika maamuzi yake, lazima Mr Speaker astep in ili kusuluhisha mambo --- na hata hivyo, ndiyo maana ya Uspika wenyewe, au siyo???
 
Eleza kwanza aliye mtoa yule adada magereza usiku na asubhi akaapishwa je ni chadema ? Au ni mpango maalum?
 
Kama kweli CDM walipeleka majina hayo, nini kinawafanya akina HALIMA na wenzie kukata rufaa?
Wanakata rufaa ili wanachama kama wewe ambao bado hawajaunga mkono juhudi za serikali wasigundue mchezo wenyewe. "By the time a novice player learns particular rules & skills required for the game, usually the experienced players have already left."~ African Proverb.
 
Hujajibu hoja...
 
Hakuna mkweli hata mmoja. Sifa namba moja ya mtu mkweli ni confidently speaking, hakuna hata mmoja anayeweza thibitisha ukweli wake?
 
Huo ndo ukweli hata akiwalazimisha atakua ana kanyaga katiba na sio kuwakomoa chadema na historia itamhukumu
 
Ngedere kaiba ndizi mbivu hakimu nyani, shahidi tumbili.
 
Na si mara ya kwanza kufanya hivyo; kila wakati lisakosi likikurupuka katika maamuzi yake, lazima Mr Speaker astep in ili kusuluhisha mambo --- na hata hivyo, ndiyo maana ya Uspika wenyewe, au siyo???
Baba mwenye nyumba lazima asimame kati
 
Chadema hawatakiwi kwenda mahakamani,
Wakienda hata Dunia itawashangaa,
Walishamaliza kazi yao ya kuwafukuza uanachama Covid 19.
Labda hao Covid 19 wageuzwe kuwa wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
 
Chadema hawatakiwi kwenda mahamani,
Wakienda hata Dunia itawashangaa,
Walishamaliza kazi yao ya kuwafukuza uanachama Covid 19.
Labda hao Covid 19 wageuzwe kuwa wabunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
Exactly watakua wamekosea sana,
 
Kura za rais halafu usipate mbunge mmm hata wao Wabunge kuna mchango kwenye chama hukumbuki kuna wakati walikuwa wanalalamika wanakatwa pesa nyingi hazina hesabu[emoji23][emoji23][emoji23] mie si mwanasiasa mkuu
Sasa unataka kusema kuwa ukipata mbunge mmoja wa jimbo ndio unapata viti maalum 19!? Mbona chama kingine chenye mbunge mmoja kama Chadema , hakina hao wabunge wa viti maalum 19!?
 
Kwa hiyo kama walikuwa wanatendewa dhuluma kama unavyodai, ndio wafoji saini kuonesha kuwa katibu mkuu wa chama ameidhinisha!? Vipi Nusrat Hanje naye alitolewa gerezani na Chadema ili kufanikisha naye awe mbunge!?
 
Chadema wanasema hawakupeleka majina NEC,nani alipeleka?

NEC wanasema Mnyika kama katibu mkuu aliwapelekea majina tena yaliyopewa baraka na kamati kuu ya Chadema. Hii ni kweli au sio kweli?...
Hizo nafasi 19 sasa hivi zimebaki 18,moja kachukua polepole
 
Zilizotiwa mifukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…