Tungekuwa na miji kama Kahama 15 hiviSheli nyingi zna mizik labda hujawahi fika kanda ya ziwa....nenda kahama pale jamaa wanaweka music kabsa eg mathayo filling station,migori filling station....huyu kaenda mbali zaid kafunga tv kabsa kwa kila pump.....
Au akishindwa aseme Fuel stationSio sheli ni kituo cha mafuta
Asante, umesema vyemaAu akishindwa aseme Fuel station
Wengine service station ni kule tunakopata "mipalange" 🙂Asante, umesema vyema
Akishindwa na hapo aseme petrol station, filling station au service station
Anaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya Serikali, akakua.Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Pale kuna mnara wa mawasiliano ya ndege?Anaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.
Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.
Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.
Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.
Ova
Aisee nilijua tu atakuwa MchaggaAnaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.
Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.
Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.
Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.
Ova
Imezoeleka kutumia neno Shell kwa sababu shell ndio kampuni kubwa sana inayojihusisha na utafutaji na usambazaji wa petrol duniani. Pia ni ya kwanza kufungua vituo vya mafuta nchini Tanganyika by then.Sio sheli ni kituo cha mafuta
Mwenye hizo sheli ni m kkktTajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.
Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Mimi nilidhani ya mama Anna MkapaAnaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.
Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.
Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.
Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.
Ova
Mkatoriki aliechangamkia KKKTMwenye hizo sheli ni m kkkt
Kwanini sio Anna Tibaijuka?Mimi nilidhani ya mama Anna Mkapa
Duuuuh hii nomaInjili ya Yesu lazima itangazwe kwa nguvu na LAZIMA. Ili siku ya mwisho hakuna kujitetea kabla ya kutupwa motoni ohhh sijui hatukusikia tulidanganywa wewe ni Issa ulizaliwa juu ya mtende