Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Nafkir point yako iko mwishoni kabisa, Hapo kwenye wahudumu wa kiiraq
 
Imezoeleka kutumia neno Shell kwa sababu shell ndio kampuni kubwa sana inayojihusisha na utafutaji na usambazaji wa petrol duniani. Pia ni ya kwanza kufungua vituo vya mafuta nchini Tanganyika by then.
Kuzoeleka hakuhalalishi kila kituo cha mafuta kukiita Sheli coz Sheli "Shell'' ni jina la Kampuni ya US.
 
Agip
Bp
Shell
Engen
Total
Gapco

Hayo ni baadhi makampuni makubwa dunia ya uuzaji usambazaji na uchimbaji mafuta.
Sio kila kituo cha mafuta kinaitwa shell.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji Mkuu, unaijua Sanaaya Uumbaji wa Maneno kwenye Lugha?
Mdau Katoa Mfano wa neno BAJAJ nayo ni kesi kama ya Shell kikubwa mawasiliano yaeleweke.
 
Back
Top Bottom