Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?

Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Retired jambazi
 
Imezoeleka kutumia neno Shell kwa sababu shell ndio kampuni kubwa sana inayojihusisha na utafutaji na usambazaji wa petrol duniani. Pia ni ya kwanza kufungua vituo vya mafuta nchini Tanganyika by then.
Kulikua pia na ESSO
 
Jamii ya watanzania ilikuabaliana lini? hicho kikao kilifanyika wapi? Baraza linaloshughulika na lugha ya Kiswahili Tanzania limepitisha kua hilo neno litumike kama kiwakilishi cha kila kituo cha mafuta? kama jamii ilikubaliana mbona humu wengi tu wanapinga kwa kila kituo cha mafuta kuitwa Shell?

Tatizo mmekariri jambo ambalo ni wrong ila kwa mazoea na uvivu mnataka kulihalalisha,Shell ni jina la kampuni tambua hilo.
Mkuu uko vizuri sanaaa. Shikilia hapo hapo. Mazoea hujenga tabia hata kama mbovu. Kamwe sheli haliwezi kuwa jina la kila kituo cha mafuta Tanzania.
 
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?

Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Hata masela wakivuta bangi huwa wanachoma udi kupoteza maboya
 
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?

Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Hujapiga hata picha tuone vinafananaje na vipo wapi?
 
Back
Top Bottom